Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mapunga hao wamepandisha bei za vifurushi sasa wanatafuta kwa kutokea mwaka jana buku moja ulikua unapata gb 2 mpaka 4 kwa siku saivi buku moja sijui mb 300 mpaka 600 hamna lolote
Juzijuzi wamepandisha kimyakimya
 
Unapotumia neno "ako" unamaanisha nini?, hicho sio Kiswahili tunashindwa kukuelewa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo ni mtz yupo kwenye majukwaa mengine humu JF, alafu kidizain kama tom boy flani hv, au huenda ni dume linalojifanya demu ila kimtindo anajitambua sema hapo anachekesha jukwaa tu.
 
Juzijuzi wamepandisha kimyakimya
Yani ni ujinga mtupu badala yakutafuta suluisho wanaanza kutufananisha na nchi zingine ndio yale yale tu eti bei ya mafuta ya marekani ni ghali kushinda bongo sasa kwa mfano anatufananisha na Mauritius wenye kipato cha dola elfu 8 sijui kumi na sisi wenye kipato cha dola elfu moja yani basi tuu serikali inaongozwa na waimba taarabu
 
Wanatufananisha na Mauritius wakati huko Mauritius inavyosemekana👇👇

aki walai China inapata US

Screenshot_20220510-024953_Chrome.jpg
 
tanzania is the only country in the world thts.. "self-proclaimed" developed country, thts according to UN Report 2022, and NewYorkTimes
CC. Thebest007, jiwe la moto
 
Mkuu, Kuna uwezekano mkubwa Sana kwamba zaidi ya 90% ya watanzania hawamuelewi rais wetu, hebu pitia "Comments" za watanzania katika hii Twitter

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Achana na hao haters wengi wao ni walimeza ujinga wa awamu ya 5 ,sisi tunaangalia matokeo yenye tija kwa Taifa..

Mtu kama hataki kuelewa si unamuacha? Kwanza wanamchukia sio kwa sababu za utendaji ni kwa sababu ya Uanamke wake na Uzanzibari wake nothing else.

So point ni uchukie au usichukie hilo halimzuii kufanya Kazi..No one cares by the way..

Nasisitiza,moja ya Rais aliyeonyesha utendaji mzuri na matokeo makubwa kwa kipindi kifupi Sana ni Samia,so kila mtu abakie na msimamo wake.

And Samia is aware of this very well thus why She gives no dawn on these fools,at a certain perticular time she once used to say these words below👇

2935085_FB_IMG_16307140795615105 (1).jpg
 
Yani ni ujinga mtupu badala yakutafuta suluisho wanaanza kutufananisha na nchi zingine ndio yale yale tu eti bei ya mafuta ya marekani ni ghali kushinda bongo sasa kwa mfano anatufananisha na Mauritius wenye kipato cha dola elfu 8 sijui kumi na sisi wenye kipato cha dola elfu moja yani basi tuu serikali inaongozwa na waimba taarabu
Moja ya watu wajinga Sana ni pamoja na wewe,Tanzania sio kisiwa kwamba inaishi ulimwengu wake..

Kwa kuwa wengi wenu mna akili ndogo sio rahisi kuelewa logic ya kujilinganisha na wengine..

Nakupa mfano,itokee leo Serikali inaondoa sh.1,000 tuu kwenye mafuta ,bei inaweza kuwa chini by far ukilinganisha na Majirani.Je utakuwa tayari kutoa pesa na rasilimali kulinda mafuta yasitoroshwe na kuleta upungufu Nchini?.

Kwa logic hizo kujilinganisha ni lazima ila kama una akili kama funza utaishia kuongea ujinga tuu,so kwa mantiki hiyo serikali haiwezi kukurupuka kufanya uamzi,hata kwenye covid haikukurupuka ndio maana hatukufikia - ve growth
 
We are fixing the problem by identifying where such obstacles may be.remember unlike Kenya, Tanzania is a bigger country hence it may be expensive to provide such infrastructure but soon we will be Eastfafrica home of the best internet!
While you're fixing, we are also growing bigger and better. Unless we were stagnant..........

I can tell you in Africa Kenya has way better internet penetration and quality than most countries other than the tiny wealthy ones such as Mauritius.
 
Back
Top Bottom