Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Samia anaendelea kuweka legacy.

Moja ya habari ya kusisimua ni huu uamzi wa Serikali kuanza kutoa mikopo kwa vijana wa vyuo vya Kati vya ufundi na Veta.👇

20220508_122934.jpg
 
Angalia hii kilaza nayo!! ako nadhania kiswahili kitu maana sana kwa land ya Bongo?? wewe asijui hii lugha ya kibantu ndo maana hukusoma weye!
We kichwa maji tumia lugha unayo weza, wacha kubaka lugha usiyo iweza
 
Mapunga hao wamepandisha bei za vifurushi sasa wanatafuta kwa kutokea mwaka jana buku moja ulikua unapata gb 2 mpaka 4 kwa siku saivi buku moja sijui mb 300 mpaka 600 hamna lolote
😔😔😔😔😔😔😔Aisee sijui tunaelekea wapi!
 
We kichwa maji tumia lugha unayo weza, wacha kubaka lugha usiyo iweza
Wee! ndo ako asijue Lugha!! tangu mwaka ghani kichwa ya muntu ikawa maji?? si weye gonjwa iko!! huoni?? weee ndio nakaa kwa Bongo land lkn aijue kitu kswahili nmana inaongea wewe nini bwana jinga kabhisaa wewe hakuna school ni buree tu!
 
On average, Kenya has faster and more reliable internet that can be accessed in most places within the country.
That may be true, but it depends with the service provider example safaricom and jamii telecom are quite reliable, telecom and Airtel and mawingu etc hawana huduma nzuri,same with tz we have quite voda konect,etc who are doing a great job in terms of internet.
 
Back
Top Bottom