Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huoni wanakula
Kwani wao ni mawe wasile?

Kazi inaendelea 👇

Screenshot_20220509-205216.png


Screenshot_20220509-204659.png


Screenshot_20220509-204753.png
 
ni dhahiri kuwa fedha hazijatolewa kwani hiyo ngonjera ya ujenzi wa hiyo miradi ni zaidi ya miaka 3 sasa. Kwa kuwa mna hasira naye huyo Rais mnatafuta kila upenyo kumkandia. Endeleeni tu. Hata angekuwepo Magu hiyo miradi isinge anza mpaka leo.
Hata wewe unaamini kwamba tunamchukia mama? Nilichokiandika kimekupa tafsiri kwamba ni chuki dhidi yake, kuhoji kumbe ni chuki? Basi sawa ndivyo uelewa wako ulivyo.
Nilivyosema watendaji wasije wakamkwamisha ili miradi isitekelezeke na kukwama umenielewaje? Soma vizuri michango ya watu utaelewa wanachokimaanisha.
Kwahiyo watu wanavyosema madudu ya serikali kupanda kwa bidhaa ikiwemo mafuta unaona wanamchukia? Sasa kwanini wanachukua hatua? NIMEKUSHANGAA SANA.
 
Tatizo yeye na hata JPM hawajui maana kamili ya Taasisi ya Urais. Kipindi cha Kikwete na Mkapa ilikuwa nadra sana maamuzi kufanyika halafu kutenguliwa maana Kikwete na Mkapa walikuwa watu wa consultations kabla ya kuja public! Samia anapaswa kujifunza hapo!

Halafu awe mwangalifu na wateule wake Nape, Makamba na Nchemba ni watu wa ambitions sana na wanaweza kumuweka mahala pabaya kama hawaweki kwenye straight line!
Me nilishasema na nitaendelea kusema kuna watendaji wa mama amewaweka karibu yake watakuja kumuangusha. Si watendaji ni wasaka tonge.
 
Kinachotakiwa kufanyika kwa mujibu wa Sheria ni kuwasimamisha kazi waliotuhumiwa na kupisha uchunguzi na hatimae kuwapeleka mahakamani. Unawafukuza watu halafu wanashinda kesi Serikali italazimika kulipa fidia kubwa zaidi.
Acha kubwabwaja,PM alishasema wakae pembeni toka akiwa Arusha kabla ya Leo kuja..

Na leo kasema Takukuru wanaendelea na Kazi so haina haja ya kuhemka kindezi.
 
Tumia lugha unayo iweza tafadhali...wacha kubaka lugha kama hivii
Angalia hii kilaza nayo!! ako nadhania kiswahili kitu maana sana kwa land ya Bongo?? wewe asijui hii lugha ya kibantu ndo maana hukusoma weye!
 
Back
Top Bottom