Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona wakunya mnaomba uraia wengi kuliko wabongoView attachment 2215461
IMG_20220507_175515.jpg
 
Nilikuwa nadhani ni utani kumbe ni kweli huu uwanja kuna watu wanakalia zege[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2215255
Watakuambia wana uchumi mkubwa wakati hata viingilio vya uwanjani hawana, angalia kulivyo empty na ni game 1 kwa mwaka, Tanzania kila week games na viwanja vinajaa pomoni
 
Hawa Wakenya wasiendekezwe kupewa uraia wa Tanzania watatuharibia hii nchi, ni wengi sana wanagombania kupewa uraia wa Tanzania, ss serikali isitoe toe uraia hovyo kwa hawa jamaa. Kila mkenya anataka kuwa mtanzania wakiwaendekeza watakuja kuharibu hii nchi, bora kdg waganda.
Me mwenyewe nawashangaa wanaogawa greencard yetu kama njugu kwa Wakunya 😄
 
Yaani Kenya tunadominate dunia kuanzia 100 metres hadi marathon ya 42 kilometres ambako Eliud Kipchoge anatesa watu? Omanyala sasa ameanza kutesa Wamarekani kwenye 100 metres. 💪💪💪
 
Back
Top Bottom