Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu asipofahamu lugha moja inamaanisha anafahamu lugha nyingine.
Tena, English is not a measure of intelligence.
Mchina hajui kingereza lakini anawapapasa anavyotaka.
Kushobokea kote kingereza kumbe ni asilimia 2 tu ndo mnajua.
Inachekesha.
Mchina hakujifunza English shuleni. Wewe Masomo umesomea kwa Kiingereza alafu huelewi Kiingereza. Sasa nini ulichosoma kama huelewi lugha iliyotumika?
 
Mchina hakujifunza English shuleni. Wewe Masomo umesomea kwa Kiingereza alafu huelewi Kiingereza. Sasa nini ulichosoma kama huelewi lugha iliyotumika?

Ndio maana mnatoa wasomi wa ovyo.
Shule mlienda kujifunza kingereza halafu kingereza chenyewe cha ovyo kimechanganyikana na lafudhi mbovu ya kikuyu.
Zambia na Zimbabwe wanaongea kingereza safi lakini sijawahi waona wakijisifia ujinga.
Kelele zote halafu asilimia 2 tu ndo wanajua kuzungumza kingereza!
 
Tuliza kende
Mama Ngina Waterfront, Mombasa
2022-04-02.jpg
34DAC9DE-346F-4B5A-8822-2E290ED75A6C.jpg
2021-06-25 (1).jpg
2022-02-14.jpg
2021-06-25.jpg
2021-09-07.jpg
images - 2022-05-08T112544.197.jpeg
images - 2022-05-08T112401.406.jpeg
images - 2022-05-08T111424.387.jpeg
images - 2022-05-08T111715.848.jpeg
images - 2022-05-08T112216.732.jpeg
images - 2022-05-08T111949.507.jpeg
images - 2022-05-08T112058.577.jpeg
E2tIxPoXEAIQbzR.jpeg
 
Ndio maana mnatoa wasomi wa ovyo.
Shule mlienda kujifunza kingereza halafu kingereza chenyewe cha ovyo kimechanganyikana na lafudhi mbovu ya kikuyu.
Zambia na Zimbabwe wanaongea kingereza safi lakini sijawahi waona wakijisifia ujinga.
Kelele zote halafu asilimia 2 tu ndo wanajua kuzungumza kingereza!
Utajuaje hawajisifii kama huelewi Kiingereza?
 
Back
Top Bottom