Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta transhipment port in Zanzibar.

View attachment 2216339
Hii bandari inajifia polepole hata mwaka haujaisha!

Kenya’s second commercial port in Lamu was meant to boost operations but 11 months after launch, the facility has only been able to handle 11 vessels, with throughput of 1,821 twenty-foot equivalent units (TEUs), according to Kenya Port Authority’s (KPA) data.

Zanzibar Port handles more ships than Lamu port!
 
Chama kimoja kutawala haijawahi kuwa ni tatizo duniani, China, Urusi, Cuba, South Africa, Denmark, Germany(kwa zaidi ya miaka 20), Angola, Namibia, Msumbiji, na nchi nyingi duniani zimetawaliwa na chama kimoja na zimepiga hatua kubwa za maendeleo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kasoro Tz..labda huko imewezekana
 
Hiyo ni zege la brt kama ulidhani mchanga ndiyo maana amuelewani wanakupostia picha wewe unadhani ni mchanga wa kupanda maua .BRT YA TZ NI ZEGE HIVYO KUWA MAKINI KUTAZAMA
Hiyo barabarani ni four lanes with a wide earth median.
 
Leta transhipment port in Zanzibar.

View attachment 2216339
Zanzibar ina port vile vile
Transhipment ni kazi ndogo sana katika kazi za bandari

Zanzibar inahudumia mzigo mkubwa kuliko Lamu by far

Zanzibar ni kisiwa lamu si kisiwa lakini haiwezi kupokea mizigo ya hinterlands

Screenshot_20220508-103240.png


images - 2022-05-08T103008.230.jpeg


images - 2022-05-08T102919.923.jpeg
 
Kinacholeta maendeleo ni maarifa.Sio kila mwenye akili anaweza kufanya mageuzi ila mwenye akili na maarifa ndio anaweza kuongoza wenzake.Learn leadership skills
Ukiwa na mbegu ya AKILI utazalisha tunda la maarifa na elimu pia na hiyo ndiyo tofauti ya binadamu na viumbe wengine .lakini ukiwa na elimu na maarifa aviwezi kukuzalia tunda la AKILI
 
Nimekuambia ulete airport imekushinda? Ulivyo taahira umekimbia kwenye transhipment ambayo haina any economical sense 😅
So transhipment haina economical sense to you? I didn't know I'm arguing with a sheep 🤣🤣😂
 
Wacha uongo katiba ya Tanzania inasema huwezi kuwa Rais kama umezaliwa nje ya Tanzania hata kama na mama wa Kitanzania! Lazma uwe umezaliwa na mama wa Kitanzania ndani ya Tanzania!
Sasa hapo ujaelewa nini? nani kasema kuwa utakuwa raia wewe ujaelewa kuhusu uraia wa moja kwa moja na uraia wa kuombwa hayo yaliyo andikwa kwenye katiba yana fafanua uraia wa moja kwa moja ila kwenye swala la uraia wa kuombwa ni tofauti hata baba na mama yako wakiwa siyo watz unaweza kuomba na kupewa kama wanavyo pewa wachezaji wa mpira hapa tz ,tatizo IQ yako ndogo ndiyo maana unachanganya madesa kuhusu hiyo katiba
 
Back
Top Bottom