dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
hio labda kwa ndoto 😂😂Hivi Bongo inaweza organize race alafu wanariadha maharufu hivi watokee?
hio labda kwa ndoto 😂😂Hivi Bongo inaweza organize race alafu wanariadha maharufu hivi watokee?
Tanzania sheria haziruhusi mwanaume wa nje aliyeoa mtanzania apewe uraia hata watoto waliozaliwa na mwanamke wa Tanzania na mwanaume wa nje wanakuwa sio watanzania. Hao itakuwa mwanaume mtanzania kaoa mwanamke wa kenya.It is called citizenship by marriage. Usijiskie sana. My friend married a Tanzanian woman last hear, he's definitely one of those 9.
Kuna watu watakupig mawe kwa kusem huu kweliWakenya wameanza kutucheka
Mama yupo kazini......
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app




Sio hawapendi michezo shida ni disposable income hakuna. Muda wote wanatafuta hela ya kula by the day. Hata wewe kwamfano utakuwa tayari kweli ulipe dola 10 ukaangalie mechi wakati unajua fika baada ya hapo unarudi kwenye slum kwenye accommodation ya full suti bati hapo hela yako lazima uionee uchungu tuu.Kote huku hakuna viti aisee, alafu wakunya hawapendi kabisa michezo ona uwanja ulivyo empty.View attachment 2215258
And their buses are made in Kenya 😂😂Hii ndio bus terminal ya hadi mabus ya nje ya kunyaland,wakunya wako nyuma sana,by the way classic bus ni kampuni ya usafirishaji inayomilikiwa na MTZ
Mjambiani mpumbavu ni mafiii huyu rais bora jeshi limuondoe hana uchungu na hii nchi
Tatizo lako kuwa mpambe, kama ungekuwa makini ungetambua barabara mpya inaifwata ile ya zamani...ila kwakuwa unatumia visigino kuangalia tatizo likanzia apoapo

Kule mbele ni zegee tuu
The first building in Tz with LED lights. Yani hadi Kisumu iko mbele ya Dar😂😂😂Mwanga Tower Opposite Millennium Tower, naona leo wamewasha LED View attachment 2215625View attachment 2215626
Ange kuja diamond apo mngejazana km kuku, ila na rais wa nchi kaja lakini huo uwanjaa uko emty kabisaaaRais Uhuru ameshakuja Stadium na kuzindua mchezo. Sasa ni kina dada 400 metres.
View attachment 2215266