Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo na Thika road kwa jina lingine zinaitwa ua ua au chinja chinja road, zimeua maelfu ya wakunya na bado zinaendelea kuua kutokana na poor engineering [emoji116][emoji116]View attachment 2214581
Tatizo ni kuwa Wakenya wachache wana tabia mbaya ya kuvuka barabara pasipo stahili. Outering road na Thika road zote zina footbridges nyingi sana ila kuna Wakenya wanajitia hamnazo na kuvuka barabara sehemu ambapo hawastahili kuvuka halafu matokeo yake ni ajali kutokea. Wao wanajifanya wana haraka sana eti hawawezi kupitia footbridge. Kwa hivyo sio poor design ya barabara. Hii Outering road na Thika road zote zina footbridges kila baada ya distance kidogo lakini bado utaona kuna watu wanajaribu kuvuka barabara na kuhatarisha maisha yao. Ila Wakenya wengi wameshazoea kutumia footbridge.
 
Kama Wakenya wengi ni masikini wa kutupwa kama unavyosema basi iweje bodies zote tajika duniani zinakubaliana kwamba Kenya ndio nchi tajiri zaidi ukanda huu? Nazungumza kuhusu IMF, World Bank, UN, OECD, CIA na kadhalika? Whether unataka kutumia gni per capita, Kenya ina gni per capita ya
$2,200 wakati nyie mna gni per capita chini ya $1,200. Mumetoka Ldc juzi tu.

Ukiamua kukimbilia kwenye HDI huko pia tunawapiga kama mbwa kwa maana kwa mujibu wa UNDP Kenya ina HDI ya juu kushinda Tanzania.

Sasa huo utajiri wenu ulioshinda wa Kenya unatokea wapi? Tukiangalia data strictly na tuweke ushabiki kando basi Kenya imewashinda kwenye metrics nyingi za kiuchumi. Ila kwa sababu data inaonyesha Kenya ipo mbele yenu kwenye mambo haya, inawabidi mpuuze data na kusema kwamba data hio ni ya kwenye makaratasi ili kufurahisha nafsi zenu. Ila hata investors wanaosoma hizi data wanajua kwamba Kenya ipo more developed than Tanzania kwenye mambo mengi.

Hio ndio maana makampuni mengi tajika zinakimbilia Nairobi na hata zimeanza kususia South Africa kwa kiasi fulani. Google kwa mfano ilisusia kuanzisha ofisi yake ya kwanza ya research barani Afrika huko South Africa na kuamua kulianzisha Nairobi. Kwenye Twitter naona watu wa South Africa wanahisi wivu sana kwa kitendo cha Google kuchagua Kenya. Amazon, Microsoft, Oracle, IBM na other tech giants zimeanzisha their African office in Kenya. Endeleni kuamini kwamba Kenya ni size yenu ila data inaeleza wazi ni nchi gani ina a more developed economy kati ya hizi mbili. Haiwezekani kwamba kila international organisation tajika inakubali kwamba Kenya imewashinda kwenye haya mambo halafu nyinyi mpinge. Mnapinga kama nani?
👆🏽👆🏽 this awesome article by Tony254, i dearly dedicate it to:-

The best 007, joto la jiwe, chongchung, Sama boy 255, Simon
 
Hamna slums because 80% of the city ni slums so slums is the normal for you.
i truely truely agree 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 utawasskia wakisema dar hakuna slums.....

kisa, +90% of darslam is slums itself hence no clear classification, that's according to UN Hatitat 2019 👇🏽👇🏽

Screenshot_20220507-030520_Google.jpg
Screenshot_20220507-030653_Chrome.jpg
 
Shelly Ann Fraser Price wa Jamaica anahojiwa na media ya Kenya. Atakimbia Kesho kasarani stadium. Kuna watu wanapenda kushindana na Kenya ila ikija kwenye michezo tumewachapa vibaya.

 
Pozi za kishamba kinoma, yani wakunya ni washamba hata wakizeeka, hawajui kuvaa kabisa, ona kama huyo mzee umri umeenda lkn muhuni, alafu eti ni profesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenyans are too intelligent for danganyikans to handle.
Huyu jamaa ni lecturer wa university kadhaa apa Kenya. He's too bright to give a shit about kuvaa vizuri
 
Samia amekuwa muongo tu kama mwendazake Magufuli.

New York gasoline price: $1.17 per litre ($4.45 per gallon)
Tanzania gasoline price: $1.36 per litre.

Lakini tumemsamehe. Tunajua quality ya elimu ya Tanzania haiwezi mruhusu afanye conversions.
[emoji23][emoji23][emoji23] danganyikans are dumb from the president kwenda chini
 
Nitaona kama nitaweza kuenda Kasarani leo kuona akina Omanyala, Fred Kerley, Marcel Jacobs, Sherley Ann Fraser Price Wakikimbia. Naskia 60,000 fans watajaza hio stadium leo.
 
Wenae umeshakua kichaa kama wenzako

Leta ushahidi kwamba ni 6 lane road

View attachment 2214797

Sio phases zote za Dongo Kundu ambazo ni 8 lanes. Phase 1 ambayo ndio inapitia Mombasa port ndio ina stretch ya 8 lanes ili kuzuia msongamano wa container trucks zinazoelekea port na zinazotoka port. Hebu hesabu kisha unieleze hizi ni lanes ngapi? Usiwe na wivu. Mombasa mji wa pili hapa Kenya una barabara ya 8 lanes wakati Mwanza haina hata barabara ya 6 lanes.

1651895421539.png
 
Tatizo ni kuwa Wakenya wachache wana tabia mbaya ya kuvuka barabara pasipo stahili. Outering road na Thika road zote zina footbridges nyingi sana ila kuna Wakenya wanajitia hamnazo na kuvuka barabara sehemu ambapo hawastahili kuvuka halafu matokeo yake ni ajali kutokea. Wao wanajifanya wana haraka sana eti hawawezi kupitia footbridge. Kwa hivyo sio poor design ya barabara. Hii Outering road na Thika road zote zina footbridges kila baada ya distance kidogo lakini bado utaona kuna watu wanajaribu kuvuka barabara na kuhatarisha maisha yao. Ila Wakenya wengi wameshazoea kutumia footbridge.
Kwahiyo tukisema "Kenyans are primitive" unakubali?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sio phases zote za Dongo Kundu ambazo ni 8 lanes. Phase 1 ambayo ndio inapitia Mombasa port ndio ina stretch ya 8 lanes ili kuzuia msongamano wa container trucks. Hebu hesabu kisha unieleze hizi ni lanes ngapi? Usiwe na wivu. Mombasa mji wa pili hapa Kenya una barabara ya 8 lanes wakati Mwanza haina hata barabara ya 6 lanes.

View attachment 2214802
Hizo nyingine ni service lane
 
Back
Top Bottom