Hivi mnajisikiaje mnaposikia vitu vizuri vinatua nchini nyie majirani?
2017 mlifanyiwa majaribio ya chanjo ya HIV sijui mliishia wapi nayo? 2020 mkaja na kituko cha Uviko... This round mko na outlet kwa bypass kwenye expressway....
Na
La mwisho ni kuwa
Hakikisheni mnachimba vyoo, mnawe maji na sabuni na muhakikishe hamkai na nzi kwenye nyumba zenu za mabati bila kusahau mule vyakula vya moto la sivyo mtahara sana.... Poleni kwa ugonjwa wa kipindu pindu Nairobi....
[emoji3578]
View attachment 2214681