Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Still we make more money from doing business with Uganda than you, just few years back, all businessmen and women from Uganda used to go to Kenya to buy their merchandise, but out of the blue we have turned the table upsidedown. The case of Uganda's cargo, things shall change soon, we are busy building infrastructure while you busy running and hosting Google and IBM offices

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Google and IBM offices with tax holidays while indigenous Songoro marine is having at least 10 projects on ship/ferries/boats building n repairing in the region!



BTW 90% of mining engineering works in the region including Kunyaland is being done by Caspian group!
 
Kuanzia mwanzo wa huu uzi mlikua mnapost picha za nchi za watu na kusema kua ni kunyaland . Halafu wenyewe hata mkiona mnasema uongo hakuwezi kosoana na watanzania . Nadhani kuna somo mmepata . Hata mimi nilikua blinded na kudhani Nairobi ni noma . Uzi umefunguaacho wengi plus kwenye mazingira ya kazi nimekutana na wakunya most wana arrogance na much za ajabu japo sio wote plus overconfidence . Kuna mmoja alikua ana shout halafu Hana logic wakati yupo bongo . Nikabaki namwangalia na kucheza. Honesty upole wa kitanzania unasaidia kumdharau mtu na kuepusha Shari .

Kuna site inaitwa jiji ipo kenya nimeangalaia house rent za kunya hadi huruma ndio maana wengi wanaishi slum
Huu ndio ukweli ambao hawataki kuusikia.
 
Sasa hiyo ni kitu ya kuchekeshayani akili yako nikama ya mwendazake kule chato
Hata siku moja hamtakaa mumsahau mzee baba, kwenye akili yenu na mawazo yenu bado anaishi mnajitahidi kumuongolea kwa mabaya but still he mnagonga mwamba si kwa uamsho huo alioufanya Tanzania na kwa Watanzania wote mpaka dunia nzima ilimjua.
 
Screenshot_20220507_090811.jpg
 
Kuna mwamba kaandika eti hayo "wanaokolewa" hadi nimecheka . Lakini nchina mmemkosea nini wakenya
Ni vilaza mkataba wamesaini wenyewe wakapewa chao na kutia mfukoni wako na haja gani kuremba? Mchina akiona uzembe mahali anapita humo humo.
 
Pozi za kishamba kinoma, yani wakunya ni washamba hata wakizeeka, hawajui kuvaa kabisa, ona kama huyo mzee umri umeenda lkn muhuni, alafu eti ni profesa
Yaani umeongea kitu ambacho kilikuwa kwenye moyo wangu kwenye suala3ka mavazi hawana kitu zaidi ya kuvaa nguo za rangi rangi halafu zinazong'aa sana sijui ndio kujua zinapendeza. Hasa wanaume.
 

Apparently Kenyans excelling in there career in Tanzania is a remarkable milestone,,
Hata Wewe dogo lazima unaota uje kufanya kazi Tz. Karibu sana, I can help you get job in Tz in one of our Healthcare Institutions’ Facilities, ila uwe na walau a BSc in Lab Sciece (should be medical)
Hii ni kama vile Mexicans wanavyostruggle kuingia US.
 
Eti wanasema kiswahili ni lugha yao ya taifa

View attachment 2214788
Walichofanya hapa wametafsiri utafsiri wa sisisi ambao ni neno kwa neno wakapoteza maana halisi ya ujumbe wa Kiingereza.

Utafsiri ni lazima uwe competent kwenye Lugha zote mbili au zaidi ambazo unazitafsiri.

Mfano sentesi "I catch the bus to town"
Tafsiri sisisi kwenda Kiswahili
Nilishika basi la mjini, badala ya nilipanda basi la kwenda mjini.

Kenyans karibuni Tanzania tuwafundishe Lugha hadhimu ya Kiswahili.
 
Back
Top Bottom