dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Kwahyo kama hapo ni SA tukusaidie nini.?hivi, huyu Lwiva bado haamini hapa ni SA, ana insist eti hapa ni kenya. uwivu ya wadanganyika
View attachment 2214516View attachment 2214524View attachment 2214519View attachment 2214525View attachment 2214526
Longer than Kibaka roadN how long is this road? I mean this dual section
msiwahi tena tumia slums kama kigezo cha kuKwahyo kama hapo ni SA tukusaidie nini.?
2025Utakuwa chama gani? Umoja Party au Chadomo?
Wacha kujipiga kifua dumb,siku zote tajiri afi njaaa, wala hali mafiiii...icho kiushuz cha barabara ndio unatambia hapa, wala haiko tofaut na ile ya arushaHey idiot, Kenya is not a poor country like Tanzania
Dingo Kundu Mombasa
View attachment 2214340
View attachment 2214341
View attachment 2214342
Huyu ndiye anafaa kuwa Rais wa Kenya, mchagueni jamani.Among the 40+ presidential candidates in Kenya's 2022 electionsView attachment 2214535


You are the biggest idiot here. Kuna interchange Arusha? Kuna overpass Arusha? Hiyo barabara ya Arusha hata haiezifikia za Kakamega.Wacha kujipiga kifua dumb,siku zote tajiri afi njaaa, wala hali mafiiii...icho kiushuz cha barabara ndio unatambia hapa, wala haiko tofaut na ile ya arusha
Kuanzia mwanzo wa huu uzi mlikua mnapost picha za nchi za watu na kusema kua ni kunyaland . Halafu wenyewe hata mkiona mnasema uongo hakuwezi kosoana na watanzania . Nadhani kuna somo mmepata . Hata mimi nilikua blinded na kudhani Nairobi ni noma . Uzi umefunguaacho wengi plus kwenye mazingira ya kazi nimekutana na wakunya most wana arrogance na much za ajabu japo sio wote plus overconfidence . Kuna mmoja alikua ana shout halafu Hana logic wakati yupo bongo . Nikabaki namwangalia na kucheza. Honesty upole wa kitanzania unasaidia kumdharau mtu na kuepusha Shari .Gdp ya Zimbabwe naona imeshuka sana in the last 2 to 3 years. Sijui ni madhara ya covid 19 au nini? Walikuwa na gdp per capita kubwa ila sasa naona imeshuka. Kwa sasa mnawatoa kamasi kulingana na hio country comparison niliyoisoma. Hamna haja ya mimi kufanya comparison kwa maana naona mumeshinda kwenye hio comparion. Ila najua hutaki kufanya comparison ya KE vs TZ.
Toa huu uchafu hapaWaligusa pabaya. Na bado Nakuru, Kakamega na Eldoret hawakuwa wameingia Kwa game.
This is Nakuru
View attachment 2214406
View attachment 2214407



Morogoro road 1Hiyo ni six lane kijana. Alafu ebu tuonyeshe hizo six lanes za Dar mnaongelea![]()
Jina darslam haiskiki ata Burundi and you want to compare it with world class cities like Nbi!! Alafu shida yenu apart from jamiiforum hakuna mahali utaona bongolala aki compare Nairobi na darKuanzia mwanzo wa huu uzi mlikua mnapost picha za nchi za watu na kusema kua ni kunyaland . Halafu wenyewe hata mkiona mnasema uongo hakuwezi kosoana na watanzania . Nadhani kuna somo mmepata . Hata mimi nilikua blinded na kudhani Nairobi ni noma . Uzi umefunguaacho wengi plus kwenye mazingira ya kazi nimekutana na wakunya most wana arrogance na much za ajabu japo sio wote plus overconfidence . Kuna mmoja alikua ana shout halafu Hana logic wakati yupo bongo . Nikabaki namwangalia na kucheza. Honesty upole wa kitanzania unasaidia kumdharau mtu na kuepusha Shari .
Kuna site inaitwa jiji ipo kenya nimeangalaia house rent za kunya hadi huruma ndio maana wengi wanaishi slum
Ss hii ndio Ali Hassan Mwinyi Bwana Mapesa? Hiyo dual carriage haipo Dar ndiyo mjue Tz is the richest in dual carriage ways.