Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wako busy kutafuta kasoro kimara kibaha highway hadi wanasahau ya kwao.
View attachment 2214558
compare and contrast



MY TAKE
Nairobi expressway with Mfereji mafii! Picha za ku-save hizi...
CC: IamLee Teargas Don YF Nicxie


Mchina ndo kamaliza kazi hapo! wasipoangalia vizuri haya maji bila proper drainage system yataenda kufanya pillars/piers ku-collapse especially kama yatatuama hapo chini median section!
 
Outering road has fire pictures and it's just an "outering road"View attachment 2214482View attachment 2214481
Hiyo na Thika road kwa jina lingine zinaitwa ua ua au chinja chinja road, zimeua maelfu ya wakunya na bado zinaendelea kuua kutokana na poor engineering
Screenshot_20220506-225022.jpg
 
Jina darslam haiskiki ata Burundi and you want to compare it with world class cities like Nbi!! Alafu shida yenu apart from jamiiforum hakuna mahali utaona bongolala aki compare Nairobi na dar
Kuna street ipo Berlin , Germany inatakiwa Dar es salaam in case you don't know, make Google your friend . Pia andika vizuri neno Dar es salaam usiikosee heshima
 
compare and contrast



MY TAKE
nairobi express way with Mfereji mafii!
CC: IamLee Teargas Don YF Nicxie


Mchina ndo kamaliza kazi! wasipoangalia vizuri haya maji bila proper drainage system yataenda kufanya pillars/piers ku-collapse especially kama yatatuama hapo chini median section!
Lengo la mchina ni kuaribu ni hiyo barabara ya chini kwa maji lami ya chini inaaribika hili wapite juu apige tozo yake
 
Jina darslam haiskiki ata Burundi and you want to compare it with world class cities like Nbi!! Alafu shida yenu apart from jamiiforum hakuna mahali utaona bongolala aki compare Nairobi na dar
kuna mitaa mingi tu usambara, Zanzibar na kilimanjaro ni majina ya mitaa mimgi tu!
 
compare and contrast



MY TAKE
Nairobi expressway with Mfereji mafii! Picha za ku-save hizi...
CC: IamLee Teargas Don YF Nicxie


Mchina ndo kamaliza kazi hapo! wasipoangalia vizuri haya maji bila proper drainage system yataenda kufanya pillars/piers ku-collapse especially kama yatatuama hapo chini median section!

You people with this your one road....
 
Kuanzia mwanzo wa huu uzi mlikua mnapost picha za nchi za watu na kusema kua ni kunyaland . Halafu wenyewe hata mkiona mnasema uongo hakuwezi kosoana na watanzania . Nadhani kuna somo mmepata . Hata mimi nilikua blinded na kudhani Nairobi ni noma . Uzi umefunguaacho wengi plus kwenye mazingira ya kazi nimekutana na wakunya most wana arrogance na much za ajabu japo sio wote plus overconfidence . Kuna mmoja alikua ana shout halafu Hana logic wakati yupo bongo . Nikabaki namwangalia na kucheza. Honesty upole wa kitanzania unasaidia kumdharau mtu na kuepusha Shari .

Kuna site inaitwa jiji ipo kenya nimeangalaia house rent za kunya hadi huruma ndio maana wengi wanaishi slum
Nairobi Ni noma usidanganyike
 
Pozi za kishamba kinoma, yani wakunya ni washamba hata wakizeeka, hawajui kuvaa kabisa, ona kama huyo mzee umri umeenda lkn muhuni, alafu eti ni profesa
Very useless base of making a statement like that.... If you want to know who between the two countries are good in dressing (though to my opinion is a stupid debate) you can bring random social gatherings or parties concerts and stuff then have a random sample... Or which country has a higher designer purchase power or something
 
You people with this your one road....
Acha kuongea sana we kalio, kwenu kuna barabara za hivi 👇
mydaressalaam_1641946306985355.jpg
.. Eti this kinda roads 👇
IMG_20211102_172028_192.jpg
IMG_20211102_171956_793.jpg
eti this kinda roads 👇
rsz_1brt_dar_se_laam(0).jpg
6175fad0_z.jpg
eti mzee hapo Kenya zipo hizi barabara 👇
dodoma_zone__1638984782739393.jpg
hapo kwenu hakuna barabara yenye six lanes nje ya Thika high way Ila sisi nje ya hii 👇
Screenshot_20220505-114900.jpg
Screenshot_20220505-114757.jpg
still tunazo na tunajenga zingine 👇
moizhusein_1642362358564836.jpg
and still hivyo vibarabara vya njia nne tunavyopia 👇 Alhasani mwinyi
DJI_0006.jpg
Samnujoma road 👇
tigo-new-data.jpg
ocean road 👇
moizhusein_1643904808031301.jpg
bado nna barabara tano mkononi .. tia pua uone nnavyo kukaanga .. tukinyamaza sio kama mnatuzidi tunaamua tu kutulia
 
Hivi mnajisikiaje mnaposikia vitu vizuri vinatua nchini nyie majirani?

2017 mlifanyiwa majaribio ya chanjo ya HIV sijui mliishia wapi nayo? 2020 mkaja na kituko cha Uviko... This round mko na outlet kwa bypass kwenye expressway....

Na

La mwisho ni kuwa

Hakikisheni mnachimba vyoo, mnawe maji na sabuni na muhakikishe hamkai na nzi kwenye nyumba zenu za mabati bila kusahau mule vyakula vya moto la sivyo mtahara sana.... Poleni kwa ugonjwa wa kipindu pindu Nairobi....

20220506_234245.jpg
 
Back
Top Bottom