chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Kuna mmoja jana alikua anasema wakenya wana pesa sana ndio maana wanakuja kwa wingi Tanzania kula bata bila kujua sio wakenya tu wanahusudu Tanzania bali wa Africa wote
Morning dogo, mie naheshimu talent za watu na achievements pia, whether legit or illegal, ata yule mwendawazimu wa sokoni, kwa yale anafanya ambayo siwezi I respect. Understand this, respect does not necessarily mean agreement. I rest in The Truth. Na mie sio mjinga kama unavyo fikiria, know that too. When u lose my respect due to some reasons, especially fundamental, whatever u do doesn't matter. Sisemi zaidi.Lazima tuheshimu watu waliofanikiwa maisha.. usiwe mjinga kiasi hicho.. sisemi tuwaogope lahasha, lakini tuwaheshimu. Kwama ambavyo hapo kwenu serikali yenu inavyoheshimu watu wenye pesa
He has done way more than that in Kenya. More than three times what he has done in your country. Now take those four episodes, wrap them well in a paper bag, then toss them in the nearest dustbin then shut up your smelly mouth!
He has done way more than that in Kenya. More than three times what he has done in your country. Now take those four episodes, wrap them well in a paper bag, then toss them in the nearest dustbin then shut up your smelly mouth!
Sawa bongolala. I hope you feeling better now after consoling yourselfHizi ni baadhi ya sehemu chache za Dar mnaamini hakuna miti kwasababu ingekuwa ni mji wa Nairobi ungeonekana wote hapo katika picha moja.
That guy has done so many episodes in Kenya. I just couldn't get my hand on all of them. Then there are other episodes under Miss Trudy's (his fiancé) account and other YouTubers like Afrikan Traveller. These ones I couldn't include here. Alafu utasikia jamaa akisema eti most of his views and subscriptions come from Tanzania yet he has only four episodes there...and more am not seeing here., like ya Garden City mall..,
Tanzanians here hawapendi kuona anything from Kenya above Tz, hiyo tu ndio issue, ata uweke screaming evidence, watatafuta sababu ya kupinga, either wapotoshe na propaganda ama wajitie hamnazo na kulazimisha fikra zao, they have a fighting spirit though, yaani mtu amenyoroshwa na evidence lakini bado anakazana tu 😂 😂That guy has done so many episodes in Kenya. I just couldn't get my hand on all of them. Then there are other episodes under Miss Trudy's (his fiancé) account and other YouTubers like Afrikan Traveller. These ones I couldn't include here. Alafu utasikia jamaa akisema eti most of his views and subscriptions come from Tanzania yet he has only four episodes there
Beating around the bushFuatilia mazungumzo vizuri kabla ya kurukia kuandika. Mkenya mwenzako alikua akipingana na watanzania waliopigana na kauli ya mama Samia kwamba miradi yote mikubwa Tanzania imejenga kwa mikopo.
Yeye mkenya amesema, rais wa nchi ndiye anajua kila kitu kuliko watu wote huku Tanzania, Mimi nikaleta hiyo kauli ya mama Samia aliposema Tanzania imeshushwa na baada ya mwezi mmoja akabadili kauli yake
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
As an economist, kindly discuss a lil bit...,Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa asilimia 7.5%
![]()
Economy grows fastest in 11 years on easing Covid curbs - VIDEO
Kenya’s economy rebounded to grow 7.5 percent in 2021 compared to a contraction of 0.3 percent a year earlier.www.businessdailyafrica.com
Soja achana na mambo ya masomo kabisa. That's not your area.Elimu uliyo nayo ya diploma huwezi kuelewa nilichomaanisha mpumbavu wewe, chuo ulipokuwa unasoma diploma yako ya unesi ulikuwa unatumia computer za chuo je ushawahi kuilipia hiyo computer? Na kama hujailipia je chuo kinawezaje kununua computer nyingine.
200k Kenya unanunua gari200k ni full tank halafu wapumbavu mnasema few liters


I don't think it's a fighting sprit. It's just blind patriotism. Ingekuwa ni fighting spirit wangejulikana kwamba ni watu wa kujituma, a quality trait that they lack.Tanzanians here hawapendi kuona anything from Kenya above Tz, hiyo tu ndio issue, ata uweke screaming evidence, watatafuta sababu ya kupinga, either wapotoshe na propaganda ama wajitie hamnazo na kulazimisha fikra zao, they have a fighting spirit though, yaani mtu amenyoroshwa na evidence lakini bado anakazana tu 😂 😂
I will do so soon. In about 30 minutes. Let me finish some tasks here I'll be back.As an economist, kindly discuss a lil bit...,
roger that, meant fighting spirit in the debate context, yaani holding to their guns ata kama wako wrong 😂 😂 😂I don't think it's a fighting sprit. It's just blind patriotism. Ingekuwa ni fighting spirit wangejulikana kwamba ni watu wa kujituma, a quality trait that they lack.
alrightI will do so soon. In about 30 minutes. Let me finish some tasks here I'll be back.
Kenya churns out half baked graduates every year ndio maana magorofa yanaanguka on daily basis, ndege nazo hivyo hivyo pia , lack of organisation in many aspects of city services including transportation, garbage disposal, city planning etc also alot of shoddy works get accepted by Kenyans engineers such as the famous expressway drainage systems.Tony254, nchi zote za Africa na nchi za Dunia ya tatu zinasumbuliwa na matatizo yafuatayo
1)High unemployment rate
2)Upungufu wa wataalamu wa sekta mbalimbali( Lack of skilled labour)
3)Brain drain
Hivi unaweza kuelezea vipi hayo matatizo yanaweza kutokea kwa wakati mmoja?,
I)Inawezekanaje katika nchi/bara ambalo Kuna tatizo kubwa la Ukosefu wa ajira(high unemployment rate), lakini ndio nchi/bara hilohilo ndio kwenye upungufu mkubwa wa (skilled labour), na ndio bara linaongoza kwa tatizo la (Brain drain).
Sio kweli kwamba Kenya/Afrika Kuna wasomi wengi zaidi hivyo ajira ni chache, ukweli ni kinyume chake, kwamba Kenya/Africa Kuna tatizo la kutengeneza ajira za kuweza kuajiri hao wasomi wachache.
Japan Kuna vyuo vikuu vingi kuliko vyuo vikuu vilivyopo Africa nzima, 80% ya wajapan wamefika Universities, hapo Kenya wasomi waliofika Universities hawafiki 3% ya wakenya wote, lakini Kati yao hao 3% wanaopata ajira hawazidi 20%, wakati Japan yenye universities nyingi kuliko idadi ya universities zote za Afrika nzima, na 80% ya Wajapan wamefika Universities Kati yao 90% wanapata ajira.
Sijawahi kusikia Wajapan wakilalamika kwamba Wana wasomi wengi kuliko ajira, lakini Kenya ambayo Universities hazizidi 100, wasomi hawazidi 3% ya wakenya wote, eti mnasema wasomi ni tatizo kwahiyo ni Bora watafute kazi nje ya nchi. Hivi mtu Kama wewe ukiwa kiongozi utaweza kweli kulisaidia bara la Afrika?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app