Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,104
- 31,347
Mjambiani fara sana huyu shit hole kabisa.juzi wakati natokea morogoro nimekutana na injinia wa sgr mmoja kanisibitishia kuwa kichwa cha treni ya umeme kilicholetwa cha majaribio ni kibovu akifai wamejaribu kukitengeneza ili kifanye jaribio la kwanza kimeshindikana sasa mpango ni kuleta kichwa kingine kutoka njeSimchukii namuambia ukweli.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuchukiwa na kuambiwa ukweli.
Ni mara ngapi nimeandika humu watu wamkosoe kwa adabu wasitumie lugha za matusi?
Ni mara ngapi nimekosana na watu humu kwa kuwaambia tu wakosoe kwa adabu?
Mihemuko peleka huko unakochezaga.