Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007 "Hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko Tanzania." Mashindano inayovutia international stars kama hawa mnayo? Na usinyamaze, ukishatazama video njoo utoe maoni yako kwa maana najua una tabia ya kunyamaza unapopewa facts.
 
Mkunya mwenzako can tell you different stories about that

Here, join her!

Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
 
Kwamba enzi za Magufuli kulikua na matumizi madogo kuliko hivi Sasa?, tunahitaji kupewa ushahidi katika Hilo. Kuna njia mbili ya serikali kuthibitisha,.
1)Kiwango cha uzalishaji umeme enzi za Magufuli na Sasa hivi
2)Kiwango cha umeme kilichokua kikitumika katika kipindi cha mwaka au mwezi kwa wakati ule na Sasa hivi/Makusanyo ya mapato yatokanayo na mauzo ya umeme yalinganishwe.

Serikali/Makamba na rais Samia wote wanalalamika kuhusu uchakavu wa miundombinu ya usambazaji umeme kuwa ndio chanzo, tunaweza kuamini juu ya Hilo, lakini swali la kujiuliza ni kwamba mbona kipindi cha Magufuli madhara ya uchakavu hayakuonekana Kama inavyoonekana Sasa hivi?.

Kama kweli hivi Sasa matumizi yameongezeka kutokana na uchumi kufunguka, tunaomba takwimu ili kweli tuamini, lakini kutoa majibu mepesi mepesi kwa Mambo ya msingi Kama haya haifai.

Jambo Moja ambalo viongozi wa Sasa hivi ni lazima wajifunze ni kwamba, Magufuli amewafungua macho watanzania kwamba Mambo yanawezekana Kama watumishi wa umma watafanya kazi zao vizuri, iwe kwa kupenda au kwa kushikiwa bakora, watu hawataki maneno na maelezo mengi, wanataka kuona vitu vinafanyika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ushahidi upi zaidi ya waliotoa Tanesco? Mbona walifanya demonstrations ya mahitaji ya umeme hadi 2021? Huo sio ushahidi au ?
 
Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Kwa hii lifestyle ya Tanzania, hapa ni Arusha

Do you think people don't have money for leisure?

Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Bila kuonyesha Tanzania, hawezi pata "subscribers" wengi, karibu you tubers wakubwa wa Africa wote wametembelea Tanzania zaidi ya mara 2, mfano ni WODE MAYA.

Tanzania attracts viewers, tourists, investors, black Americans and football players, Kenya attracts athletics, Alshabab and beggars

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Tanzania has no YouTubers. I've seen travel YouTubers from all over Africa traveling and appreciating other African countries. Tanzanians job is only to be happy when a foreign YouTuber lands in Tanzania.
 
Bila kuonyesha Tanzania, hawezi pata "subscribers" wengi, karibu you tubers wakubwa wa Africa wote wametembelea Tanzania zaidi ya mara 2, mfano ni WODE MAYA.

Tanzania attracts viewers, tourists, investors, black Americans and football players, Kenya attracts athletics, Alshabab and beggars

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bila kuonyesha Tanzania, hawezi pata "subscribers" wengi, karibu you tubers wakubwa wa Africa wote wametembelea Tanzania zaidi ya mara 2, mfano ni WODE MAYA.

Tanzania attracts viewers, tourists, investors, black Americans and football players, Kenya attracts athletics, Alshabab and beggars

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo Wode Maya amesema his favourite country in Africa is Kenya, is married to a Kenyan and is planning to invest in Kenya alafu wewe unapiga kelele just because he visited Tanzania twice.
 
Ask the president of Tanzania, she knows better than all of us

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
True... She knows better 😂
1651668374260~2.jpg
 
Huyo Wode Maya amesema his favourite country in Africa is Kenya, is married to a Kenyan and is planning to invest in Kenya alafu wewe unapiga kelele just because he visited Tanzania twice.
I can't count the number of times I have seen Wode Maya visit Kenya. Mibongolala ni watu hovyo sana
 
Mbona danganyika inatumia picha za Kenya sgr mtungi wa changaa kuonyesha maendeleo ya SGR yao ambayo imekwama?
JamiiForums416463800.jpg
 
I can't count the number of times I have seen Wode Maya visit Kenya. Mibongolala ni watu hovyo sana
He basically lives in Ghana and Kenya with his Kenyan girlfriend. They have a home here alafu mtu anakuringia eti he goes to Tanzania.
 
Back
Top Bottom