Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

UEFA imeisha sasa nikaona nipitie huku..naona nimetajwa..
Bro huyo mtu huwa siargue nae..japo sijapitia deep maongezi yenu..ebu angalia hizi data..kama hazitoshelezi maongezi yenu na mnataka data nyingine..nishtue kesho.. nitag kbsa nipate noti
Pia si ajabu akabadilisha gear. Usiku mwema nyote
View attachment 2211890View attachment 2211891View attachment 2211892
Mkuu, Asante Sana kwa hizi data, ninaamini huu mjadala wetu utakua umefikia mwisho kutokana na hizi data, sidhani Kama ndugu yetu The Sunk Cost Fallacy atakua na hoja tena
The Sunk Cost Fallacy

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Milioni 5 mzee sio 15 wasije wakakuumbua hawa nyumbu
Diamond ana almost million 14 by now. 😁

Wakati wao mwenye wengi zaidi ni million 4 😃

Screenshot_20220505-094046.png
 
Have you seen Japanese, Chinese, Germans, Namibians, Mauritians, Botswana and many YouTubers from countries that are stable economically?.

YouTubers are people that have nothing to do in their countries, many are from countries with high rate of unemployment or they are marginalized from their countries[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Wode Maya amesema his favourite country in Africa is Kenya, is married to a Kenyan and is planning to invest in Kenya alafu wewe unapiga kelele just because he visited Tanzania twice.
The fact that he likes Kenya, doesn't make Kenya the best country for his viewers?, he gets big number of viewers by showing Tanzania episodes than Kenya, that's why he has done many programs from Tanzania than from Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unfortunately ilikuwa ni mjadala wa mafanikio ya mama Kwa mwaka mmja kwa hiyo walifanya graphical demonstrations kwa power point kwa hiyo sikuweza kunukuu..

Ila post yangu ya kwanza nimeweka nukuu ya maelezo yao kama ilivyoelezwa na gazeti la Mwananchi wameeleza hiki nachosema..
Simon ameweka data tafadhali zipitie, zinathibitisha kwamba hakuna siku TANESCO imezidiwa na demand ya umeme, hakuna tofauti yoyote ya Kiwango cha matumizi Kati ya kipindi cha Magufuli na hivi Sasa, tofauti ni uongozi tu umebadilika, ndio chanzo cha haya yote tunayoyaona.

Jambo Moja linanishangaza kwa sisi washabiki wa viongozi ni kwamba, pale kunapotokea jambo zuri, tunasema ni matokeo ya uongozi uliopo, ila kukitokea jambo baya hatukubali kwamba ni matokeo ya uongozi uliopo, katika hili la umeme, hakuna njia ya kumsafisha Makamba

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna sehemu isiyo na slums Kenya, najua mnaumia na mngependa tufanane, taja sehemu yoyote Kenya nitakuonesha slums
emoji116.png
emoji116.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
View attachment 2211862View attachment 2211863View attachment 2211864View attachment 2211865View attachment 2211866View attachment 2211867
Desperation of the highest order!!

1st picture: It's clearly written Elburgon's Kasarani. Well, there's no place called Elburgon in Nairobi. Elburgon is in Nakuru County. This is Kasarani
Screenshot_20220505-095908~2.png
Screenshot_20220505-100003~2.png
Screenshot_20220505-100121~2.png
Screenshot_20220505-100538~2.png
Screenshot_20220505-100331~2.png
Screenshot_20220505-084511~2.png


2nd picture: That's not Buru Buru bongolala. Buru Buru is synonymous with its red tiled roofs and white brick wall houses. Nyumba zote in the whole of buru buru ziko na red tiles kwa roofing which is not the case in your purpoted picture
Screenshot_20220505-082723~2.png
images (89).jpeg


3rd picture: I don't even know why you posted that. But just to let you know, this is how Roysambu looks like
Screenshot_20220505-083623~2.png
Screenshot_20220505-084008~2.png

Screenshot_20220505-084628~2.png



4th Picture: You are showing us demolished stalls...Show me residentials. But just to let you know, this is how Ngara looks like
Screenshot_20220505-090544~2.png
Screenshot_20220505-090020~2.png
Screenshot_20220505-085815~2.png
images (6)~2.jpeg


5th Picture: South C is one of the best middle-income neighbourhoods in Nairobi. Better than your Swahili hovels of uswazi. And the planning is dope
Screenshot_20220505-092542~2.png
Screenshot_20220505-091757~2.png
Screenshot_20220505-091742~2.png
Screenshot_20220505-092102~2.png
Screenshot_20220505-092237~2.png


6th picture: Lang'ata is way above most of your upper-class neighbourhoods. There are no such houses in Lang'ata
Screenshot_20220505-094736~2.png
Screenshot_20220505-093701~2.png
Screenshot_20220505-093719~2.png
Screenshot_20220505-093801~2.png
Screenshot_20220505-093928~2.png
Screenshot_20220505-094157~2.png
Screenshot_20220505-094205~2.png


Screenshot_20220505-084302~2.png
 
Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Kunyaland kuna bata gani litakalomshangaza MTZ!?wakunya brainwash kuhusu TZ iko kichwani mix chang'aa ya kibera basi uwa mnafikiria negative tu kwa TZ na chuki zenu,sasa mkitia mguu bongo mnakuta kila kitu tofauti na mlivyoaminishwa ndio hapo mnapoanza kushangaa
 


Ebu jamaa waliopo zanzibar uko ebu watunyoshe maelezo kabla hatujatema nyongo umu
Mwinyi kawezaje

Angalia kodi za kuagiza gari za zanzibar na Tanzania bara nadhani utagundua sababu,zenj kwenye suala la kodi kuna fair kubwa sana na ndio hata magari zenji si ghali kama ilivyo bara,hapo wanasiasa inabidi ndio wakomae na kero za muungano kama hizi
 
Onyesha program alizorusha WODE MAYA Kati ya Kenya na Tanzania na ulinganishe, Kenya anakuja kufuata yule demu wake, lakini nchi inayompa viewers wengi ni Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania ni nyumbani kwa youtubers kutokana na vivutio vyake hilo halina ubishi,wakunya watabisha tu hapa ila mioyoni mwao wanajua
 
Back
Top Bottom