Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sipendi vile mnataka kuelewana !mbona mnataka kumaliza Battle mapema na ata express way bado haijaanza kufanya kazi
Wewe unaongelea xpress way ya mchina, wkt xpress way ya mchina inafunguliwa hakutakuwa na mtu anaiongelea mana itamezwa na electrifitried SGR ya kwanza East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Northern White Rhino zimebakia mbili tu duniani na ziko Kenya.
Nakuambia hivi hakuna na haitotokea Kenya iwe na mnyama alafu asiwepo Tz ila ni kawaida mnyama awepo Tz alafu asipatikane dunia nzima.
 
Ikiwa TZ mtatinga $500 billion na population yenu iwe chini ya watu 100 million then ni kweli Mtanzania mmoja mmoja atakuwa tajiri mno. Kila Mtanzania atakuwa anamiliki gari. Lakini ikiwa gdp yenu itatinga $500 billion lakini kwa bahati mbaya iwe kwamba mumezaliana kama panya na kufika watu 300 million basi tegemea umasikini kubaki pale pale. Hii ndio sababu China walisema kila familia izae mtoto mmoja tu ili uchumi unapokua by 10% kila mwaka basi mapato ya kila familia inaongezeka lakini ikiwa kwamba kila mwaka kuna mdomo mpya umezaliwa ya kukula chakula ndani ya familia basi mapato ya familia yanakwenda chini.
Wachina waliwaza kiuchumi zaidi. Sasa hivi bila kupanga uzazi, population ya China ingekuwa 2 billion people na kila Mchina angekuwa masikini wa kutupwa. Sasa India ambao hawapangi uzazi watapita China kwa wingi wa watu soon na japo uchumi wa India unakuwa kwa kasi, idadi ya watu pia inakuwa kwa kasi kwa hivyo umasikini wa India utabakia pale pale.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
huu mwaka sijabambika aky!. ati kenya now at no.7.!! at 114b only! me i had projected about +120b.. have we stagnated! ama bado ni ripple effects za corona.?? hivi angola imetoklezea na wapi?. ama ni story na mafuta jili ya ukraine russia war.!??🤔 but will it be sustainable in the years to come.?? hio speed ya ethiopia nayo.!?, yani 105b frm 93b ivo tu.! na tz nayo no.9! wame add aje 10b! within no tyme?. as in, we are now only separated by 1 country... ethiopia............🤔 damn it.!

think we should up our game this year else...

View attachment 2209322View attachment 2209323View attachment 2209324View attachment 2209325
Why are you so bitter brathee?
 
afu wew dogo [mention]Teargas [/mention] watu wanadiscuss vitu vya maana wew unaleta mapicha ya magar.. jiheshimu au nenda kwa madogo wenzio huko mtaan mkacheze [emoji41]
Huyo mjinga ni mkubwa sana sema ana mambo ya kitoto, huoni hata wakunya wenzie hawampi attention.
 
Punda milia kama punda milia 👇huyu alionekana mwenye hifadhi ya taifa ruaha
EF4k_8pWoAQJkl6.jpg
EEwl9gIWkAceRc9.jpg
albino zebra 👇
_109192987_fe442af9-3135-4448-923d-01f43cc94e3f.jpg
. The best 007 tell them bro
 
Nakuambia hivi hakuna na haitotokea Kenya iwe na mnyama alafu asiwepo Tz ila ni kawaida mnyama awepo Tz alafu asipatikane dunia nzima.
Sasa hata mnyama ambaye ameangamizwa na poachers hadi wamebaki wawili duniani pia unapinga?
 
huu mwaka sijabambika aky!. ati kenya now at no.7.!! at 114b only! me i had projected about +120b.. have we stagnated! ama bado ni ripple effects za corona.?? hivi angola imetoklezea na wapi?. ama ni story na mafuta jili ya ukraine russia war.!??[emoji848] but will it be sustainable in the years to come.?? hio speed ya ethiopia nayo.!?, yani 105b frm 93b ivo tu.! na tz nayo no.9! wame add aje 10b! within no tyme?. as in, we are now only separated by 1 country... ethiopia............[emoji848] damn it.!

think we should up our game this year else...

View attachment 2209322View attachment 2209323View attachment 2209324View attachment 2209325
With Kenya weakening currency and uncertainty on commodities prices coupled with slowing global economy tegemea maumivu zaidi.
 
Mimi I am happy coz gdp per capita ya Kenya inapanda very fast. Sasa hivi iko $2,200 na nakumbuka by 2013 ilikuwa around $1,200. So in less than 10 years imeongezeka almost double. No other country in Africa, per capita yake imeongezeka faster than ya Kenya in the last 10 years.
Has the common mwananchi benefited from the ripple effect of increasing gdp per capita au things are worse than yester years?
 
projection tu in 2025
[emoji1241]$102B vs [emoji1139] $135B
we really need to plan and implement the best strategic development projects to speed up the growth of our economy. we can close this gap
View attachment 2208995
View attachment 2208996
Bado Kenya wanacheza na mark ya 30bn to 40bil usd over us..sijajua kwenye hizo.projections kama wali include LNG, Bagamoyo Port , New mining projects na Eacop
 
Bado Kenya wanacheza na mark ya 30bn to 40bil usd over us..sijajua kwenye hizo.projections kama wali include LNG, Bagamoyo Port , New mining projects na Eacop
Kwa nini imf wainclude lng kwa projected gdp yenu ya 2027 ikiwa hata ujenzi bado haujaanza? Hata mkataba haujatiwa saini. Ujenzi ukianza basi wataiweka kwenye projections. Eacop nadhani imewekwa au itawekwa soon kwenye projections. Lng wachaneni nayo hadi ile siku ujenzi utaanza. Kuwa na plans ni kitu cha kawaida sana na hata Somalia wana plans nzuri sana ila utekelezaji ndio tatizo. Plans haiwezi kuwekwa kwenye projections mzee. Plans ni ujinga bila utekelezaji. Sgr yenu nadhani iko kwenye hio projection kwa maana ujenzi unaendelea.
 
Gdp per capita ya Uganda ni $1,060 na ya Ethiopia ni $1,039. Kwa hivyo pia gni per capita ya nchi hizi mbili ziko around that level. Kulingana na WB, ili nchi iwe middle income lazima iwe na gni per capita ya around $1,080. So hizi nchi mbili zinakaribia kuwa middle income. Uganda watakuwa middle income in the next 3 years. Ethiopia wanapigana, wao mambo yao sijui.
3yrs realy!.... no..
i think before the close of business later this year, look at their gdp growth
 
3yrs realy!.... no..
i think before the close of business later this year, look at their gdp growth
You may be right. Although even if Uganda reaches the milestone, it may still take one or two years for imf and WB to confirm the results. They usually don't just rush to graduate a country from ldc to mic. They usually put a country under observation for one or two years before declaring a country an mic.
 
Back
Top Bottom