Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 756
- 2,097
Point yangu ni kwamba ni kwanin hayo mabus hamtumii hko kwenu mnaishia kuuzia watu tu.. nin kinachoshindikana? Sijasema hayapo kabisa!Ni kwamba unapinga kwamba hilo basi lilikuwa assembled in Kenya au nini? AVA is one of the biggest assembers in Kenya na ipo Mombasa. Unaweza kuona neno AVA limeandikwa kwenye hilo basi.
Logic rahis ni kwamba, kama hayo mabus mnatengeneza nyiny, mnamtandao mkubwa wa barabara, na mna idadi kubwa ya watu wakipato cha kati,, nilitegemea mabus ya maana mengi kwa county zte (atleast 90%)

Ni kama sis tunaposema tunawauzia mchele, si mnaona hku mchele upo mwingi?
Sas tueleze nin shida hko kwenu.. Ni kwann bdo mnabanana kwenye mmaisuzu yenye kutu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app


wako na maendeleo makubwa kuwazidi...uchumi wa Nigeria
umeegemea tu kwenye mafuta sector zingine zinatoa mchango kiduchu kwenye gdp yao....siku Tz tukiwa na gdp kama iyo basi ujue kila mtanzania anaishi level za Austria 

