Hata Mwanza, Songwe na Chattle zote zina handle International flights piaNairobi, Mombasa, Kisumu na Eldoret zote zina handle international flights. Soon Malindi will also join the list specifically, for tourists in the North Coast area.
Hata Mwanza, Songwe na Chattle zote zina handle International flights piaNairobi, Mombasa, Kisumu na Eldoret zote zina handle international flights. Soon Malindi will also join the list specifically, for tourists in the North Coast area.
Sisi tunapanda Marco Polo huku wewe kiazi.Your buses are made in Kenya idiot
Products of Master
View attachment 2208764
View attachment 2208765
View attachment 2208766
View attachment 2208767
View attachment 2208769
View attachment 2208775
Next year Tanzania will rebase the gdp might increase to over 100bnBy the way next year itakuwa tamu. Kenya itakuwa $120 billion na Tanzania itakuwa around $81 billion. Total gdp ya Kenya na Tanzania by next year itakuwa zaidi ya $200 billion. Yaani sisi mandugu tunachukiana sana lakini sisi ni masuperpower wadogo hapa Africa. Uchumi hizi mbili zikishikana ni zaidi ya $200 billion.
Cc Simon.
🤣🤣🤣🤣Wewe unafanya kazi airport na una andika root. Lakini we ni soja, huwezi elewa hizi vitu. 🤣🤣🤣
Ikiwa TZ mtatinga $500 billion na population yenu iwe chini ya watu 100 million then ni kweli Mtanzania mmoja mmoja atakuwa tajiri mno. Kila Mtanzania atakuwa anamiliki gari. Lakini ikiwa gdp yenu itatinga $500 billion lakini kwa bahati mbaya iwe kwamba mumezaliana kama panya na kufika watu 300 million basi tegemea umasikini kubaki pale pale. Hii ndio sababu China walisema kila familia izae mtoto mmoja tu ili uchumi unapokua by 10% kila mwaka basi mapato ya kila familia inaongezeka lakini ikiwa kwamba kila mwaka kuna mdomo mpya umezaliwa ya kukula chakula ndani ya familia basi mapato ya familia yanakwenda chini.Yani Nigeria gdp yao iko level za Thailand ila Thailandwako na maendeleo makubwa kuwazidi...uchumi wa Nigeria
umeegemea tu kwenye mafuta sector zingine zinatoa mchango kiduchu kwenye gdp yao....siku Tz tukiwa na gdp kama iyo basi ujue kila mtanzania anaishi level za Austria
![]()
Hizo tutawauzia msipochungaMbona poor interior? imewekwa seats za matatu!!
You need another one?
You need another one?
You need another one?
Umeongea vizur sana...kupanga uzazi ni elimu zaidi itolewe mtu mwenyewe apange kulingana na uwezo wake...usisahau pia hapa Tz bado kuna ndoa za wake wengi(polygamy) kwahyo kuzaa ni suala la mtu binafsi ajiangalie na uwezo wake....hizi sera za elimu bure bima kwa watanzania wote nk ndio zinawapabaadhi ya watu ujinga wa kudhani maisha ni mepesi...Mtu anasahau kuna mavazi, Makazi bora,vyakula nk ambavyo serikali haiwezi kukupa kama hisaniIkiwa TZ mtatinga $500 billion na population yenu iwe chini ya watu 100 million then ni kweli Mtanzania mmoja mmoja atakuwa tajiri mno. Kila Mtanzania atakuwa anamiliki gari. Lakini ikiwa gdp yenu itatinga $500 billion lakini kwa bahati mbaya iwe kwamba mumezaliana kama panya na kufika watu 300 million basi tegemea umasikini kubaki pale pale. Hii ndio sababu China walisema kila familia izae mtoto mmoja tu ili uchumi unapokua by 10% kila mwaka basi mapato ya kila familia inaongezeka lakini ikiwa kwamba kila mwaka kuna mdomo mpya umezaliwa ya kukula chakula ndani ya familia basi mapato ya familia yanakwenda chini.
Wachina waliwaza kiuchumi zaidi. Sasa hivi bila kupanga uzazi, population ya China ingekuwa 2 billion people na kila Mchina angekuwa masikini wa kutupwa. Sasa India ambao hawapangi uzazi watapita China kwa wingi wa watu soon na japo uchumi wa India unakuwa kwa kasi, idadi ya watu pia inakuwa kwa kasi kwa hivyo umasikini wa India utabakia pale pale.
GDP sio kipimo halisi cha maendeleo ila what is on the ground is what matters. Purchasing power parity iko vizuri katika kuainisha maendeleoYani Nigeria gdp yao iko level za Thailand ila Thailandwako na maendeleo makubwa kuwazidi...uchumi wa Nigeria
umeegemea tu kwenye mafuta sector zingine zinatoa mchango kiduchu kwenye gdp yao....siku Tz tukiwa na gdp kama iyo basi ujue kila mtanzania anaishi level za Austria
![]()
Ethiopia walikuwa na mchezo wa ku over inflate economic indicators zao wanayo hiyo kashfa na wali hire PR company specifically kwa kutangaza huo upuuzi wao ili kuvutia investors.Ethiopia ni wabaya. Wao wana vita na uchumi wao bado unakuwa. Wakimaliza vita yao watatukimbiza sisi Kenya kama tumewaibia pesa yao. Usicheze na uchumi wa watu 110 million. Ni muda tu Ethiopia ichukue nafasi yake nyuma ya Algeria. Nchi zenye watu wengi huwa ni muda tu wachukue nafasi yao juu ya nchi zenye watu wachache. Kwa muda hapa Afrika SA ndio ilikuwa inatamba japo ina watu 1/4 ya Nigeria lakini Nigeria ilikuja ikachukua nafasi yake ya kwanza Afrika. Vile vile in 1970 China ilikuwa number 9, sasa hivi ipo number 2 na ni muda tu kabla hawajachukia number 1. Vile vile India ilikuwa number 10 lakini sasa ipo number 6 na ni muda tu ichukue nafasi yake number 3 na hatimaye 2.
Hata nimeshangaa kwamba uchumi wao ulikuwa licha ya wao kupigana vita kikali vya kuharibu mali. Vita hivyo viliharibu mashule, mahospitali na kadhalika. Siamini hii data ya Ethiopia.Ethiopia walikuwa na mchezo wa ku over inflate economic indicators zao wanayo hiyo kashfa na wali hire PR company specifically kwa kutangaza huo upuuzi wao ili kuvutia investors.
Waache waendelee kupigana tutawapita wamesimama...Hata sisi tunamiradi ya kimkakati ambayo ikianza kufanya kazi uchumi utastawi sana...miradi kama ya bwawa la Nyerere,Sgr na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kunaifungua nchi kwa kasi sana....Tunaendelea kwa kasi from 77 kwenda 100 sio kazi kubwa...kazi kubwa ilikua kufika hapoHata nimeshangaa kwamba uchumi wao ulikuwa licha ya wao kupigana vita kikali vya kuharibu mali. Vita hivyo viliharibu mashule, mahospitali na kadhalika. Siamini hii data ya Ethiopia.
Wewe ushaidiscuss kitu Cha maana hapa kweli? These buses are important because we assemble them here in Kenya then sell to Tanzania. Just say that you are tired with the reality ntkuelewa.afu wew dogo [mention]Teargas [/mention] watu wanadiscuss vitu vya maana wew unaleta mapicha ya magar.. jiheshimu au nenda kwa madogo wenzio huko mtaan mkacheze![]()
Indicator zipo nyingi nafaham lakini gdp ni mojawapo....Hatujasema gdp pekee ndio inatoshaGDP sio kipimo halisi cha maendeleo ila what is on the ground is what matters. Purchasing power parity iko vizuri katika kuainisha maendeleo
The problem with you unaongelea what you are not sure of. Sasa ukiambiwa to provide the evidence of what you are saying will do it?Ethiopia walikuwa na mchezo wa ku over inflate economic indicators zao wanayo hiyo kashfa na wali hire PR company specifically kwa kutangaza huo upuuzi wao ili kuvutia investors.
Ni kweli. Kenya kutoka $77b hadi $100b tuliipiga kwa miaka mitatu au minne. Kabla Samia kuondoka uongozini sioni ni kwa nini msifike $100b.Waache waendelee kupigana tutawapita wamesimama...Hata sisi tunamiradi ya kimkakati ambayo ikianza kufanya kazi uchumi utastawi sana...miradi kama ya bwawa la Nyerere,Sgr na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kunaifungua nchi kwa kasi sana....Tunaendelea kwa kasi from 77 kwenda 100 sio kazi kubwa...kazi kubwa ilikua kufika hapo