Shida yenu watanzania huwa mnapenda sana kupingana bila facts. This is the recent data from Tanzania Bureau of Statistics. I don't want to talk about 2020 juu ya COVID so I have decided to look at 2019. Ukiangalia hapo utaona your domestic passengers number is 2M
Umeona Hilo bus linalokwenda? Tunduma ushawahi kupaskia sas nyinyi mnaotuuzia na wenye barabara bora na wenye matajiri wengi mnashindwa nin mana kila kitu mnacho na mazingira yote mnayo..
Kitu gan kinawazuia kuwa na mabus kama hayo kila county? Ebu sas ujibu kama mtu mzma ila ukileta utoto haina shida mgonjwa unayeficha maradhi!

Wewe ni wazimu. Unadhani airtz ina destinations nyingi kushinda KQ? Punguzeni konyagi. KQ inafika hata USA na UK maeneo ambayo airtz haitawahi kanyaga hadi yesu arudi..
Ni wapi umesoma passengers kwa hio screenshot yake? Mulisema hakuna boeing, airbus au embraer inaland nje Nairobi, Mombasa au Kisumu. Sasa mukipewa evidence munaanza kushift goal post kama kawaida.
Ndio maana me husema nyinyi ni washamba. Fly 540 is a budget airline. Kenya has two budget airlines, the other one is Jambo jet. Tanzania has no budget airline after acquiring fly 540 ikabadilishwa to Fast Jet alafu ikafilisika.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.