Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Is tanzania bureau of statistics TAA.?So unataka kupingana pia na serikali yenu?🤣🤣😂😂
Is tanzania bureau of statistics TAA.?So unataka kupingana pia na serikali yenu?🤣🤣😂😂
Your buses are made in Kenya idiot😂We don't assemble busses in Tz but we own them in larger number than u guys do, 100+ bus companies 0 bus assembling plant.. nyie sasa u can't afford, 1 bus assembling plant <20 bus companies 😂😂😂 that's a shame, then you ar here bragging, taifa maskini, unatamba na assembling plats za wenyewe while back home you can't afford to buy them
By the way next year itakuwa tamu. Kenya itakuwa $120 billion na Tanzania itakuwa around $81 billion. Total gdp ya Kenya na Tanzania by next year itakuwa zaidi ya $200 billion. Yaani sisi mandugu tunachukiana sana lakini sisi ni masuperpower wadogo hapa Africa. Uchumi hizi mbili zikishikana ni zaidi ya $200 billion.Africa top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
Then kuna kampuni ngapi za basi hapo kwenu.? 😂😂😂Your buses are made in Kenya idiot😂
Products of Master😂😂
View attachment 2208764
View attachment 2208765
View attachment 2208766
View attachment 2208767
View attachment 2208769
Achana na Wikipedia kijana 😂😂Is tanzania bureau of statistics TAA.?
Products of AVA😂😂👇Then kuna kampuni ngapi za basi hapo kwenu.? 😂😂😂
Top of my head naweza kukupatia two bus assembling plants. Kuna ile inayo-assemble Isuzu Nairobi na kuna ile inayo-assemble Scania Mombasa. Halafu Geza Ulole jana alinidanganya kwamba Tanzania ina-assemble busses kumbe ni uongo?We don't assemble busses in Tz but we own them in larger number than u guys do, 100+ bus companies 0 bus assembling plant.. nyie sasa u can't afford, 1 bus assembling plant <20 bus companies 😂😂😂 that's a shame, then you ar here bragging, taifa maskini, unatamba na assembling plats za wenyewe while back home you can't afford to buy them
Mwanza is an airstrip, niliona hii Video ya Sam Chui jana walifly from JKIA to Mwanza and back. Walivamiwa na wadudu mbaya sana. 🤣 🤣 🤣
Don't forget about LSHS which assembled some of their BRT buses😂Top of my head naweza kukupatia two bus assembling plants. Kuna ile inayo-assemble Isuzu Nairobi na kuna ile inayo-assemble Scania Mombasa. Halafu Geza Ulole jana alinidanganya kwamba Tanzania ina-assemble busses kumbe ni uongo?
Wakati unawaza kwamba hamshikiki, nikujuze kuwa ule mradi LNG 40bill june initial sign will be made, bado kuna chapuo kubwa kweny bagamoyo thats extra 10bil, plus bomba la mafuta la Uganda hapo hujagusa vitu kma impact ya SGR,Bwawa la nyerere,upanuzi wa bandari unao endelea , unafikiri sisi kuwapita ninguvu inaitajika au mdaa tu? Tafakarii'm seeing tanzanians, are realy trying to induce things while holding lots of hope and great faith..!. they're trying to force ends to meet by all means possible.. but kenya's growth rghtnw at 7%.! bongo watabaki kututazama kwenye viusasa
Nigeria wameshatinga $500 billion Jesus Christ. Halafu hapa JF huwa mnaichukia Nigeria sijui ni kwa nini. Wale watu wako aggresive sana mimi sina tatizo nao.Africa top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
Tuta tuta tuta.Wakati unawaza kwamba hamshikiki, nikujuze kuwa ule mradi LNG 40bill june initial sign will be made, bado kuna chapuo kubwa kweny bagamoyo thats extra 10bil, plus bomba la mafuta la Uganda hapo hujagusa vitu kma impact ya SGR,Bwawa la nyerere,upanuzi wa bandari unao endelea , unafikiri sisi kuwapita ninguvu inaitajika au mdaa tu? Tafakari
😂😂😂 We kichaa ulikua sitosoma hii taarifa au .. by 2019 Mwanza airport passenger number ilikua 350k+ na 👇Achana na Wikipedia kijana 😂😂
Okay okay, then how many bus companies do you guys have back home.? 😂😂😂, 2 bus assembling plants <20 bus companies .. nyinyi ni maskiniTop of my head naweza kukupatia two bus assembling plants. Kuna ile inayo-assemble Isuzu Nairobi na kuna ile inayo-assemble Scania Mombasa. Halafu Geza Ulole jana alinidanganya kwamba Tanzania ina-assemble busses kumbe ni uongo?
Ebu leta data za 2021 tuone, na usilete Wikipedia tafadhali 😂😂😂😂😂😂 We kichaa ulikua sitosoma hii taarifa au .. by 2019 Mwanza airport passenger number ilikua 350k+ na 👇View attachment 2208782oky tuambie now hiyo 200k ya Tanzania bureau of statistics ulipata wapi.? 😂😂 Au ni ukurasa wako umeuanzisha.? Unajua data za 2021 ni 400k+
By the way nimepiga hesabu ya haraka kwa calculator ya simu yangu na nimepata kwamba Gdp ya hizi nchi kumi ni $2.19 trillionAfrica top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
Nataka kwanza kuanzia leo uachane na Tanzania bureau of statistics kwasababu sio reliable source, sawa we kilaza 😂😂😂😂, au ni account yako ulitengeneza mwenyewe .. dah.!!Ebu leta data za 2021 tuone, na usilete Wikipedia tafadhali 😂😂😂
I trust your government more than any of you here.Nataka kwanza kuanzia leo uachane na Tanzania bureau of statistics kwasababu sio reliable source, sawa we kilaza 😂😂😂😂, au ni account yako ulitengeneza mwenyewe .. dah.!!
😂😂😂😂😂 Nime save hii comment yako kwa matumizi ya baadaeI trust your government more than any of you here.