Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1. This is not Thika Road. This is Waiyaki way.
2. It is a road under construction. It is a continuation of the expressway. The women have moved illegally to the median after being displaced due to the expansion of the road.

Stop posting misleading information to massage your balls.
Haha ninyi huongopa mambo kadhaa ya Tz ilimuonekane bora,kumbe hua inauma mtenda akitendewa
 
Geza uthobothwe
Thika road inakaa hivi.

No photo description available.
 
Bongo tuna nickel pia

Ni kweli mna nickel ila Watu wa Indonesia wako more aggresive na wamefuata Elon Musk hadi ofisini mwake ila nyinyi mnangoja kufuatwa na kutongozwa na investors sio?
 
Ni kweli mna nickel ila Watu wa Indonesia wako more aggresive na wamefuata Elon Musk hadi ofisini mwake ila nyinyi mnangoja kufuatwa na kutongozwa na investors sio?
kwani ni Tesla tu ndo wanatumia nickel? hebu shughulisha hizo funza kichwani!
 
Back
Top Bottom