Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We wa kuhara mtaroni, usingilie yasio kuhusu,sikukuliza wala kureply comment yako...pita mbali
JamiiForums-1482992848.jpg
 
Hata Python kuna classes, object na method pia! As a matter of fact hata JS. Kiufupi hizi languages zote zinafanya kitu kimoja kwa lugha tofauti! Inategemea nn unataka kufanya katika Backend and Frontend!
Ni kweli hata python ni OOP , point ilikua ni vizuri kujifunza kuanzia python kwa begginer haswa wanafunzi wa secondary kwa sababu ni rahisi kuelewa . Pia inatumika kwenye nyanja nyingi kuanzia desktop application, web application , data science , machine language, kutengeneza game na mobile apps.
 
Sijasema mimi ni mtaalam wa microbiology. Hebu soma nilochoandika vizuri. Bila mihemko
Mzee elimu ya Bongo pana saana kwa mtu aliefika high school tena michepuo ya sayansi. Tumesoma vitu viiiingi mzee. Mimi mwenyewe huyo tiagesi wako naweza mchalenji na ka microbiology kake, nyie ni Kiingereza tu cha Kijaluo
 
All must admit the road network in Kenya is on another level. This is kitui one of the remote areas but see devolution is changing Kenya completely soon all of Kenya will be competing as individual blocks
 
Mkuu TZ tumepiga hatua nzuri kwenye ICT Miaka mingi sana kwa O-Level, chukulia mfano hii shule inaitwa Hekima Girls: Hekima Girls Secondary School ipo kijijini huko Bukoba achilia mbali kina st. something lakini inatumia syllabus ya Tanzania: Hekima Girls Secondary School na wanapiga front-end na database query na mambo kibao.

Inshu ni kwamba jirani wakifanya kitu lazima wapige kelele kinyama

View attachment 2200200
Na Jana wamezindua mpango endelevu zaidi kwa Teachers Centres.

Kwa umeme kila kijiji ni wazi kwenye sekta ya ICT tutapiga BAO zaidi 👇

Screenshot_20220426-071154.png
 
Back
Top Bottom