tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
From $54B Yr 2017 to $48B Yr 2022...mnafilisika bro
From $54B Yr 2017 to $48B Yr 2022...mnafilisika bro
Chai ya tanzania is the worst quality in the East African Market na unacheka Kenya.
Na yule mwanafunzi bom la machozi, ana hoji kusu road markingThika super highway with hawkers in the median section!





uchizi mbaya sanaaSasa hivi wamehamia kukopa Japan, Mchina ameshawavunja mabawa hawana namna..They tried hard to copy the US mode of governance, they ignored the fact that Kenya is a poor third world failed state infested with hunger among others.
Wanakuja kustuka serikali haina hela (broke), gharama za kuendesha serikali ya majimbo na wabunge uchwara wa hivyo viwilaya wanaita counties ni kubwa mno kuliko uwezo wao,
Sasa counties hazina uwezo wa kulipa hata mishahara ya watumishi, serikali ya kunya ni mwendo wa kukopa uchina.
Failed state.View attachment 2202068
Hakuma marking on that road at allNa yule mwanafunzi bom la machozi, ana hoji kusu road markinguchizi mbaya sanaaView attachment 2202196

Hili barabara bado linajengwa. Ndio maana huoni gari lolote upande mmoja. Gari zote zipo upande ule mwingine. Kenya barabara nyingi sana zipo under construction. Au ulifikiri Nairobi expressway pekee ndio barabara inayojengwa Kenya??Hakuma marking on that road at allNa yule mwanafunzi bom la machozi, ana hoji kusu road markinguchizi mbaya sanaaView attachment 2202196
Kwani nyie ...mliambiw roads marking ni dhambi?Since when did Thika road pass through Kangemi?



Hii sio Thika super highway. Neno super halitumiki kwenye hii barabara. Halafu upande mmoja wa barabara bado unajengwa sasa unataka markings zitoke wapi?Halafu hiyo ni Super Highway![]()
Key words: Super, Highway.
Barabara bado inajengwa upande mmoja sasa unataka road markings zitoke wapi? Ujenzi haujakamilika. Nilikuambia utulize nyege.Kwani nyie ...mliambiw roads marking ni dhambi?![]()
walikuwa wana mpango wa kuweka BRT lanes sijui mpango umeishia wapi?Hizo sehemu za kati hata kupanda majani wameshindwa dah hii nchi mtihani kweli kuishi.
Wacha nikupe darasa kidogo wewe na Watanzania wenzako kuhusu barabara za Nairobi.walikuwa wana mpango wa kuweka BRT lanes sijui mpango umeishia wapi?
Eti Tony254 BRT Nairobi imefikia wapi?
Wacha nikupe darasa kidogo wewe na Watanzania wenzako kuhusu barabara za Nairobi.
Brt stations bado zinajengwa along Thika road. Halafu Brt itakuwa kwenye Thika road sio kwenye hili barabara. Hili barabara linaanzia mahali ambapo Nairobi Expressway inaishia. Nairobi expressway ni 27 kilometres kuanzia mkabala wa airport JKIA kupitia Nairobi CBD, Westlands na kufikia kikomo James Gichuru. Sasa baada ya James Gichuru kuna 25 kilometres ya upanuzi unaofanyika kutoka single carriage hadi dual carriage. Huu upanuzi ni mradi unaoitwa James Gichuru Rironi expansion project. Kwa hivyo barabara iliyopanuliwa kutoka Airport JKIA hadi Rironi ni 27 km +25 km =52 km ya upanuzi. Mradi huu ndio unauona kwenye hio tweet uliopost. Tazama video ya 2 minutes ya Kenha kwa maelezo zaidi kuhusu James Gichuru-Rironi expansion project.
Thika road nayo ipo mbali sana na hizi barabara mbili. Nairobi expressway na Games Gichuru-Rironi ni part of Northern corridor kuanzia Mombasa hadi Kampala. Thika road sio part of Northern Corridor kwa maana inatokea Nairobi na kuelekea upande wa Ethiopia na inafikia tamati Kiambu county. Thika road ina 8 lanes na urefu wa 40 kilometres ambayo ndio the widest road in East Africa.
Thika super highway with hawkers in the median section!