toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Mkuu TZ tumepiga hatua nzuri kwenye ICT Miaka mingi sana kwa O-Level, chukulia mfano hii shule inaitwa Hekima Girls: Hekima Girls Secondary School ipo kijijini huko Bukoba achilia mbali kina st. something lakini inatumia syllabus ya Tanzania: Hekima Girls Secondary School na wanapiga front-end na database query na mambo kibao.Kila primary school ina stima kwa kuanzia , how many pc do you have per student . Programming inataka mda labda mnataka kufundisha variable declaration, looping , conditions kwa theory . Huwezi mfundisha mtoto python halafu anaenda home ana pc wala internet . Japo wazo ni zuri sana . I hope kuwe na shule maalum haswa kuanzia seconda kwa Tanzania kufundisha programming , networking , A.I and so
Inshu ni kwamba jirani wakifanya kitu lazima wapige kelele kinyama

