Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why should I tell you the obvious. Kama hujui meaning ya the word basic, DBMS jargon utaelewa aje?
data base management systems sio? fool sasa kama unadharau MS Access ambayo ina-create foundation ya Database unawezaje uka-brag kuhusu programming if platforms that enable interaction unazidhrau?
 
Watalam naomba mnieleweshe hiki ni nini kimewekwa? Kweny flyover pale chang'ombe
Screenshot_20220426-111601.jpg
JamiiForums236248997.jpg
JamiiForums-677810832.jpg
 
data base management systems sio? fool sasa kama unadharau MS Access ambayo ina-create foundation ya Database unawezaje uka-brag kuhusu programming?
Nilisema wapi nimedharau access? Nilisema munafunzwa basics. Learn to comprehend kabla uropokwe usichokijua.
 
another loan 🤣🤣

Usichojua ni kwamba loans za IMF ni cheaper (zina low interest rate) kushinda loans za China, au Eurobond au loans from commercial banks kama nyinyi mnavyochukua loans za Standard Chartered bank kujenga SGR yenu.
 
shida sio kua cheaper shida ni kua uchumi wenu umekufa 🤣🤣🤣🤣

alaf SGR inapokea soft loan kama ulikua hujui 😂😂👇👇
57785031-29C5-45A2-8D06-3558EC93F7F3.jpeg
 
kwa wakenya wote poleni kwa msiba mzito wa rais mwai kibaki na kwa ufahamu wangu mdogo rais kibaki ni miongoni mwa marais aliekua mzalendo sana na nchi ya kenya na aliamsha uchumi wa kenya kivitendo hakika kenya na africa imepoteza kiongozi mzalendo sana 🙏🙏

poleni sana wakenya wote Tony254 Teargas nairobae Don YF Simba 254 etc
Asante mzee. Kumbe wakati mwingine wewe huwa muungwana na unaweka mchezo kando. Asante. Huyo mzee kweli aliitoa Kenya kwenye shimo kabisa.
 
shida sio kua cheaper shida ni kua uchumi wenu umekufa 🤣🤣🤣🤣

alaf SGR inapokea soft loan kama ulikua hujui 😂😂👇👇
View attachment 2201086

$1.5 billion haiwezi kuitwa soft loan. Hio ni pesa nyingi sana. Commercial banks huwa zinatoa loans mbaya sana. Ndio maana hamjaambiwa loan duration na interest rate p.a ni kiasi gani. Halafu mumeomba Standard Chartered wawapatie loan ya pili tena hivi majuzi.
 
Ninyi mpo tofauti sana, kumbe msiba kama huu kwenu wala si chochote

Huyo mtu yeye mwenyewe ndio haoni msiba hapo. Mimi kwangu ni pigo kubwa. Mimi ninajua Kibaki alipotutoa na alipotufikisha. Hata Magu alipofariki usidhani kwamba kila Mtanzania alihuzunika, kuna waliofurahi sana. Binadamu tupo hivyo.
 
Tanzania tuko wapi wakati majirani wakiimarisha majeshi yao?

View attachment 2201044
Museveni ni mjinga sana aisee. UG bado ni LDC, wao wana gdp takriban ya $40 billion lakini wanatumia $1.2 billion kwenye military yao kila mwaka na ukumbuke hawana navy. Wanajaribu kushindana na Kenya na Gdp ya Kenya ni almost triple ya Uganda??? Wanashindana na ndovu kunya, watapasuka msamba. Wangeinvest kwenye afya, elimu na miundo mbinu ili watoke LDC. Unajua Uganda wamekaribia sana kutoka LDC. Museveni akiweka ujinga kando, watakuwa middle income hata in the next three years kwa maana gni per capita yao imekaribia kufika ya middle income level.
 
Usichojua ni kwamba loans za IMF ni cheaper (zina low interest rate) kushinda loans za China, au Eurobond au loans from commercial banks kama nyinyi mnavyochukua loans za Standard Chartered bank kujenga SGR yenu.
90% Tanzania's loans are from WB, IMF, AfDB and domestic financial lenders, the opposite is the same in Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Museveni ni mjinga sana aisee. UG bado ni LDC, wao wana gdp takriban ya $40 billion lakini wanatumia $1.2 billion kwenye military yao kila mwaka na ukumbuke hawana navy. Wanajaribu kushindana na Kenya na Gdp ya Kenya ni almost triple ya Uganda??? Wanashindana na ndovu kunya, watapasuka msamba. Wangeinvest kwenye afya, elimu na miundo mbinu ili watoke LDC. Unajua Uganda wamekaribia sana kutoka LDC. Museveni akiweka ujinga kando, watakuwa middle income hata in the next three years kwa maana gni per capita yao imekaribia kufika ya middle income level.
Shida yako nn? Wakati Migingo ipo chini yao?
 
Back
Top Bottom