Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es Salaam

Screenshot_20220425-232752.png
 
Heheheheeee km 8 ni elevated section, unaweza ukasimama mwanzo ukaona mpk mwisho sasa hyo ni nn kama co flyover hyo
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Mkuu TZ tumepiga hatua nzuri kwenye ICT Miaka mingi sana kwa O-Level, chukulia mfano hii shule inaitwa Hekima Girls: Hekima Girls Secondary School ipo kijijini huko Bukoba achilia mbali kina st. something lakini inatumia syllabus ya Tanzania: Hekima Girls Secondary School na wanapiga front-end na database query na mambo kibao.

Inshu ni kwamba jirani wakifanya kitu lazima wapige kelele kinyama

View attachment 2200200
Unajua kuna tofauti ya hio shule moja ku "make progress in ICT" as compared to introducing it in the syllabus..ikiwekwa kwa syllabus inamaanisha it's a requirement in every government or non government learning institution..
You really think hakuna shule ambazo hazija embrace hio tech already? My alma mater did enzi zetu baba..
 
Tony sidhani kama unaufahamu mzuri wa haya mambo. Unaposema kuwa python ni ngumu kuliko C++ unamaanisha nini?

Python ni very high level programming language kuliko C++, ikimaanisha kuwa imerahisishwa sana. Concepts kama pointers ambazo zipo kwenye C na C++ huwa hazipo kwenye python. Kwa lugha rahisi python ni kama gari yenye automatic gear wakati C na C++ ni ile yenye manual gear.

Zamani ni subjective. Sisi wengine tulianza na C, na mpaka leo C inatumika sana, hiyo simu yako microchips zake zina run C.

Kinadharia unaweza kuprogram kitu chochote kwa language yoyote (Turing computability) lakini kuna baadhi ya language zinafaa zaidi kwa masuala fulani (mf. web vs automotive)

Python huwa na limitations inapokuja kwenye microcontrollers programming ambapo memory iliyopo kwenye chip huwa ni ndogo sana. Kwa kutumia C++ na hasa C unaweza kutumia memory hiyo ndogo kwa ufanisi zaidi.

C++ ilikuwepo kabla ya C-sharp bro.
Nilishakubali mimi mambo ya programming sio mjuzi kama wengine wenu. Mimi sio king'ang'anizi kwa mambo ambayo sina ujuzi nao kama joto la jiwe ambaye anajifanya ni mjuzi kwenye nyanja zote. Aisee dickchiller na Chamoto asanteni kwa darasa mlionipatia. Nimejifunza kitu hapo.
 
Unajua kuna tofauti ya hio shule moja ku "make progress in ICT" as compared to introducing it in the syllabus..ikiwekwa kwa syllabus inamaanisha it's a requirement in every government or non government learning institution..
You really think hakuna shule ambazo hazija embrace hio tech already? My alma mater did enzi zetu baba..
Shule nyingi sana zinatumia hiyo syllabus, as a matter of fact shule zote zenye somo la ICT zinatumia hiyo syllabus. Hiyo sio syllabus yao bali ni ya Tanzania na nyingine nliowahi kuwaona wakiitumia ni Hindu Mandari schools DSM
 
To be honest am shocked, japo nimepita sana Tabora na kukaa kwenye lodges kwa siku chache lakini sikuwahi kuthani kama Tabora is this way developed

Nilishangaa Mwanri kipindi kile alipokua anasema anataka Tabora iwe kama Toronto 😂 surely it's somehow Toronto to be honest 😅

Kuna kipindi Wakunya walikua wananiambia niwaoneshe barabara ya lami Tabora 😆 then paaap video hii hapa

Hii video ni ya dakika nyingi sana kuzunguka Tabora lakini yote inaonesha lami tu, mwanzo wa video it's kind uswazi lakini kuwa mvumilivu

Ukiondoa Nairobi hakuna mji wenye mtandao mkubwa wa lami Kenya kuizidi Tabora Tony254 utanisaidia

Hakuna mtu wa Tabora ataenda Karen au west kushangaa neighborhood zao sababu Tabora got them and decent streets beautifully modern and stylish than those of Nairobi posh areas NairobiWalker na Nicxie mna la kujifunza Tabora

 
Sawa umeshinda. Wewe ndio mtaalam. Mimi sina ujinga wa kubisha mambo ambayo siyaelewi vizuri kama vile joto la jiwe hupenda kufanya
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndio inadhihirika jinsi wakenya msivyojua Mambo mengi, endeleeni kujifunza toka Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom