Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

99% ya wakaazi wa Dar is a slum bado wanatumia bundles za simu. 🤣 🤣 🤣 🤣
No photo description available.
Hakuna cha ajabu hapo mzee zanzibar island karbia yote wana install equipments ku facilitate free wifi pitia hapa
 
C# lazima unaandike classes , object na method ni OOP acha ubishi wa kitoto . Hata mimi mkizungumzia uchumi wenu uwa naangalia tu View attachment 2200334
Hata Python kuna classes, object na method pia! As a matter of fact hata JS. Kiufupi hizi languages zote zinafanya kitu kimoja kwa lugha tofauti! Inategemea nn unataka kufanya katika Backend and Frontend!
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndio inadhihirika jinsi wakenya msivyojua Mambo mengi, endeleeni kujifunza toka Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Si wewe pia unaelewa microbiology kumshinda Teargass ambaye ameisomea? Mjuaji sana wewe jamaa. Punguza ujuaji. Hata kwa mambo ya software pia utaanza kufunza watu hapa mambo ya software coding sio?
1650861067601.jpg
 
Nikisema munafunzwa basics za MS Word na MS Access unakasirika, si ndio hii wewe mwenywe umepost. 🤣 🤣 🤣 🤣
Hivi unaijua MS Access kwa mapana yake? Si kitu cha kudharau kama una-deal na GUI na database in general!
 
Si wewe pia unaelewa microbiology kumshinda Teargass ambaye ameisomea? Mjuaji sana wewe jamaa. Punguza ujuaji. Hata kwa mambo ya software pia utaanza kufunza watu hapa mambo ya software coding sio?
View attachment 2200926
Umewahi kuona ninachangia katika Mambo ya IT?, Ila katika uchumi na Science ya viumbe hai Kama Microbiology, Immunology, Parasitology, Pathology, Physiology, Opthalmology, Entomology, Pharmacology na huko kote, huyo Teargas ninaweza kumfundisha hadi apate PhD, japo nimeishia 'Form 4 failure's

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna cha ajabu hapo mzee zanzibar island karbia yote wana install equipments ku facilitate free wifi pitia hapa

Unataka kucompare hizi internet za bure za NGO amabazo wanafanya installation kwa mashule, community centers na home fibre ambayo unafanyiwa installation kwa nyumba yako. 🤣 🤣 🤣 🤣
Bongo bado mko nyuma aiiiiseeeee.
 
Soma uelewe, nilisema munafunzwa basics.
MS Access ni basics fool! U need that together with SQL to design, manipulate and create any database! This page u r using to post ur nonsense must have used MS Access and MSSQL during its conception!
 
Back
Top Bottom