Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni $160m ila nyie mlipigwa kwa kuambiwa ni $500m na juzi wamepandisha mpk$800m barabara lenyewe halitumiki
Uzuri ni kwamba kila neno unatoa akilini kijiweni hapo mwananyamala. Huna hata chembe cha ushahidi
 
Nani amekuambia kwamba lazima hawa watoto wafunzwe programming skills advanced sana? Python ni advanced sana, watoto wa college au university ndio wanasoma hio. Hii ni kuwapatia tu basic foundation in programming ili wakifika high school wawe tayari wana basics. Ukumbuke kabla ya kusoma object oriented programming languages kama Java au python mtu kwanza anaanza na simple structured programs kama C##. Ukielewa c## kisha unaweza kusomea c++ kisha sasa mtu asomee java au python. Halafu most of these programming languges hazihitaji internet connection, uwache kudanganya watu humu.
Hamna cha programming hapo, hyo ni siasa tu ya kutafuta votes, au hamjui kama huu ni mwaka wa uchaguzi huko kwenu? Uhunye anataka kuweka mtu wake wa kumlinda so anawaongopea kama kawaida yenu majinga ya kuongopewa. Na umaskini mlio nao hamtaweza ku implement hyo kitu.
 
Mu7 Tanzania ni nyumbani,na kuwapoteza maboya hawezi kubase wazi wazi kwa Tanzania,nadhani pipeline ingewaamsha kidogo ila mungiki bado mmelala,rais ajaye wa uganda ni half Tanzanian by birth 😀
Sasa kama unalosema ni kweli nini inamzuia M7 kupitisha mizigo zake Dar es Salaam port? Jambo gani linamfanya apitishie 90% ya mizigo yake Kenya?
 
Hamna cha programming hapo, hyo ni siasa tu ya kutafuta votes, au hamjui kama huu ni mwaka wa uchaguzi huko kwenu? Uhunye anataka kuweka mtu wake wa kumlinda so anawaongopea kama kawaida yenu majinga ya kuongopewa. Na umaskini mlio nao hamtaweza ku impliment hyo kitu.
Imeshakuwa implemented. Tayari iko kwenye syllabus. Sasa nenda kalilie chooni.
 
Elongated flyover ndio nini?
Flyover iliyorefushwa kidogo kwa km8.
Screenshot_20220425-171548.jpg
 
Ni $160m ila nyie mlipigwa kwa kuambiwa ni $500m na juzi wamepandisha mpk$800m barabara lenyewe halitumiki
Umeshaelezwa kwamba barabara bado halijazinduliwa na wewe bado unakazana kwamba halitumiki. Barabara litajaa magari, wewe ngoja siku ya uzinduzi.
 
Back
Top Bottom