babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Kila primary school ina stima kwa kuanzia , how many pc do you have per student . Programming inataka mda labda mnataka kufundisha variable declaration, looping , conditions kwa theory . Huwezi mfundisha mtoto python halafu anaenda home ana pc wala internet . Japo wazo ni zuri sana . I hope kuwe na shule maalum haswa kuanzia seconda kwa Tanzania kufundisha programming , networking , A.I and so
Kwanza wakuambie one laptop per child ilifikia wapi.
Halafu hivi na hawa watafundishwa coding!
Kwa hiyo python itapanda fresh kabisa hapa!



