Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nigger please huwezi compare barabara za Nairobi na Dar. Wacha kujidanganya wewe jisifie tu BRT hio inaeleweka but ikifika city roads network hamuoni kitu. Barabara Kenya imejenga na inazidi kujenga maeneo yote, hapo kubishina ni kujitia aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
wew huna akili sasa BRT zinayembea kwenye maji? unasema hatuna barabra nzuri alafu unasifia BRT. Dar ishaanza kuwalesha wakenya[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukipiga na treni ya Umeme aisee hawa jamaa watatukoma,
Hatunaga majigambo ila kwa hawa wapuuzi hakuna namna nyingine,
Treni ya Umeme inaisha 2019,
Halafu JNIA inakamilika 2018 itakuwa ndiyo largest, Advanced na Modern in the region,hapo kumbuka Tushaagiza ndege mupya kwa wazungu

Wao karne hii wanakopa hela na kununua gari Moshi kama hivi
[emoji1] [emoji1]
View attachment 575053View attachment 575054

Halafu huu ndio usafiri wao wa umma eti karne hii,
Halafu wanadai wako middle income.
View attachment 575055View attachment 575056View attachment 575057
DCM, Canter na Leyland
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Electrified SGR ipo kwenye kasi ya kuridhisha, soon mataruma yataanza kulazwa wakenya mkae mkao wa povu.

PIX2-8.jpg

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika Hodhi la Reli (RAHCO) Bw. Masanja Kadogosa akielezea jambo mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) ambapo awamu ya yenye urefu wa Km 205 inajengwa kutoka Dar – Moro.

PIX3-7.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua ujenzi wa tuta kwa ajili ya njia ya reli alipotembelea eneo la Soga (Kibaha) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) yenye urefu wa kilomita 205 kutoka Dar – Morogoro leo. Kutoka kulia ni Meneja Mradi wa SGR Mhandisi Maizo Mgedzi, Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic na Mhandisi Felix Nnalio.

PIX4-3.jpg

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu ujenzi wa tuta la reli ya kisasa ya SGR alipotembele eneo la Soga (kibaha) leo.

PIX1-7.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo mbele ya Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic (katikati) alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) ambapo awamu ya kwanza inajengwa kutoka Dar – Moro yenye urefu wa 205km.

PIX5-3.jpg

Muuonekano wa awali wa tuta la reli linaloendelea kujengwa kwa kuondolewa tabaka la udongo wa kilimo na kuwekewa udongo wa ujenzi katika eneo la Soga (Kibaha) ambapo mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa unaendeleo.

PIX6-1.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitazama kifaa cha kupima mgandamizo wa ardhi mara baada ya ardhi kushindiliwa alipokagua ujenzi wa tuta la reli katika eneo la Soga (Kibaha).

PIX7-1.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na shughuli ya ujenzi wa karakana ya kutengeneza mataluma ya reli alipokagua ujenzi alipofanya ziara katika eneo la Soga (Kibaha).
 
hili jambo wakiliskia hua wanaumia sana walidhani white elephant kumbe watu tuko serious 😀😀😀😀😀
safari hiii watatapika sana povu
 
Hahaha kuna mmoja jina anajijua alikua anabisha mpaka akaapa haitakaa Tanzania ijenge electric trains labda miaka 50 ijayo, leo akiona hivi lazima a logoff
 
Another brainwashed idiot, huko vyuoni mnafundishwa ujinga?
BRT is designed for Mass Transit (Fast transit) and Not parks or resting places.
Unataka watu wakae kwenye Vituo wafanye nini? Hapa sio Uhuru park mnakaa na bahasha zenu na makoti ya suti za mitumba kachumbari oversize asubuhi hadi jioni

In BRT people wait for 2-5 minutes for a bus, why u want them to seat ?
Huna exposure wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom