Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another brainwashed idiot, huko vyuoni mnafundishwa ujinga?
BRT is designed for Mass Transit (Fast transit) and Not parks or resting places.
Unataka watu wakae kwenye Vituo wafanye nini? Hapa sio Uhuru park mnakaa na bahasha zenu na makoti ya suti za mitumba kachumbari oversize asubuhi hadi jioni

In BRT people wait for 2-5 minutes for a bus, why u want them to seat ?
Huna exposure wewe.
Exposure to dar hahaha. .....spare us your short temper na stage zinavunda mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meanwhile,
Maeneo Fulani jijini Dar es Salaam, Jiji la Raha, Bata analiwa hadi six in the morning,
Bata, batani,
Dar ni Tamu bwana, acheni masihara nyie.
IMG_20170819_011208_354.JPG
 
.msosi mzuri kwa mtu kama mimi mpenda misosi lazima nisifie vitu kama hizo aiseee katika siku uliyopost vitu vya maana vinavyoifunika nairobi nzima ni huo msosi aisee[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] siku zote mnapost pumba hiyo kitu ndiyo mnatakiwa kupata wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji14] [emoji14] [emoji14]
IMG_20170819_011208_354.JPG
 
na phase 2 brt tunawakandamiza next year.....ili wapige kelele vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukipiga na treni ya Umeme aisee hawa jamaa watatukoma,
Hatunaga majigambo ila kwa hawa wapuuzi hakuna namna nyingine,
Treni ya Umeme inaisha 2019,
Halafu JNIA inakamilika 2018 itakuwa ndiyo largest, Advanced na Modern in the region,hapo kumbuka Tushaagiza ndege mupya kwa wazungu

Wao karne hii wanakopa hela na kununua gari Moshi kama hivi
[emoji1] [emoji1]
IMG_20170817_224508_987.JPG
IMG_20170817_224451_384.JPG

Halafu huu ndio usafiri wao wa umma eti karne hii,
Halafu wanadai wako middle income.
IMG_20170615_200558_567.JPG
IMG_20170615_200540_004.JPG
IMG_20170615_200524_829.JPG

DCM, Canter na Leyland
 
Tukipiga na treni ya Umeme aisee hawa jamaa watatukoma,
Hatunaga majigambo ila kwa hawa wapuuzi hakuna namna nyingine,
Treni ya Umeme inaisha 2019,
Halafu JNIA inakamilika 2018 itakuwa ndiyo largest, Advanced na Modern in the region,hapo kumbuka Tushaagiza ndege mupya kwa wazungu

Wao karne hii wanakopa hela na kununua gari Moshi kama hivi
[emoji1] [emoji1]
View attachment 575053View attachment 575054

Halafu huu ndio usafiri wao wa umma eti karne hii,
Halafu wanadai wako middle income.
View attachment 575055View attachment 575056View attachment 575057
DCM, Canter na Leyland
yaani ni vituko wapo....karne ya kwanza wanaishi kikoloni.....sana washikaji niwakizamani sana
na phase 2 brt tunawakandamiza next year.....ili wapige kelele vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo ni club gani uko GameOver!,ni kama kumejaa moshi....huhu
Hahaha, Mimi ni kijana, naingia viwanja Vingi,
Sometimes club, sometimes pub, sometimes Bar, mradi tu Bata.
Nchi yangu Tanzania ni ya Amani, nawezaamsha bagamoyo hata sasa hivi and nothing happens..,
Provided I am spending my own money, (pesa ninayoitafuta mwenyewe.)
IMG_20170826_002341_288.JPG
 
Hahaha, Mimi ni kijana, naingia viwanja Vingi,
Sometimes club, sometimes pub, sometimes Bar, mradi tu Bata.
Nchi yangu Tanzania ni ya Amani, nawezaamsha bagamoyo hata sasa hivi and nothing happens..,
Provided I am spending my own money, (pesa ninayoitafuta mwenyewe.)
View attachment 575058
chimboooo. ..[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo kajifungia Kibera anaogopa hata kutoka nje maana wakora hii ni mida yao,
Nairobi Kenya- the terrorism hotbed (CNN)
sema asij kuwae nayeye pia ni miongoni mwa wakora.....akawa hapa anafanya ndiyo sehemu yake ya kupush mda.....maana kwa kenya wakora ni wengi hawatabiliki hajulikani mbaya yupi mwema yupi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakenya wataishi kimashaka daima .......kama wakiendelea kutobadilika........[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wakigeukia huku wakora, huku Mungiki, hapo bado mziki mnene wa Yale mazombi ya Alshabaab, A.K.a militia wavaa yebo yebo .
Shida tupu hawa ndugu zetu, ndio maana huwa wengi wana sura ngumu, sababu ya stress.
 
Back
Top Bottom