Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waganda wameanza kulia mapema sana.


hata Uganda wanatafunwa na hio hio Kenya Commercial Bank....it's called hegemony
Masikini wa Mungu huyu mama hajui kama she's jealous for 'LOSSERS'

her bad 🤭

Laiti angelijua!

Screenshot_20220421-203958.png
 
now this is what i referred to as a waste of time, resources, energy and unnecessary maintenance contracts in the days to come.. their was no need for this greenery thing. civil engineering mostly entail dealing only with, concrete, steel, quarrystones, bricks, sand, gravel, timber... unless flowering on Reinforced Concrete Structural Members is a new topic.. i never heard tht in the engineering class
Leo umeunga mkonobora wangeweka tiles,
 
Wapo watu wenye qualifications za kukidhi vigezo vya kampuni hizo. Huwezi kusema kuwa nchi nzima haina watu wenye sifa za kuajiriwa. Pia hata kama wapo wachache, kuna job training zinafanywa na makampuni. And Kenyans are smart! Wame-approve curriculum ya coding kwenye shule zao tayari! Kwa hiyo utegemee watoto wao kuanza kuingia kwenye filed ya IT.
Wakenya tayari wapo kwenye field ya ICT. Huyu minister wa ICT wa Kenya Joe Mucheru alikuwa anafanya kazi google. Alikuwa na cheo ya kuheshimika huko google. Halafu kwenye kuanzisha start-ups Kenya, Nigeria na SA ndio nchi zinazoanzisha start-ups nyingi mno Africa. So Wakenya wenye knowledge ya IT ni wengi
 
Mkuu, alisema kwamba kwa wakati ule hawajafika lakini alipata full support na baraka toka wizarani.

Mkuu sidhani Kama lile tukio ni kubwa kiasi hicho, alichofanya Masoud ni kuunda gari ambalo tayari teknologia yake ipo nchini, hakuna "New invention".

Mkuu kule Arusha kwa muda Sasa magari wanayotumia kwa safari za Utalii yanatumia "solar panels kucharge batteries, mbona hatukusikia uzindizi wowote?.

Ni muhimu kumpongeza Kipanya kwa uthubutu wake, lakini hajagundua kitu kipya, alichofanya ameunda gari, Uganda hapo Wana kiwanda kikubwa kinatengeneza "buses" za umeme, lakini kwasababu sio kitu kipya duniani, hakuna kelele nyingi.

Hivi unataka kusema Mosoud ni mtanzania wa kwanza kutengeneza gari linalotumia Betries?, Mbona Kuna yule mwanafunzi wa NIT alilionyesha gari lake la umeme katika viwanja vya maonyesho ya sabasaba takriban miaka 3 iliyopita na hapakua na kelele nyingi?, Masoud Kipanya ni mtu wa "media" anaitumia vizuri Sana hiyo fani yake kujitangaza Ila tunampongeza kwa ujasiri wake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukisoma historia ya Soichiro Honda na jinsi alivyopambana kutengeneza magari yake kwa kutumia injini ya pikipiki, huku Toyota ikiwa teyari ni kampuni kubwa Japan, utaelewa kwanini namsifia Masoud na wengine waliojaribu. Wajapani mpaka leo hawapendi kuendesha magari ya Honda kwasababu ya stigma kuwa ni kampuni ya pikipiki, lakini gari za Honda zinapendwa sana nje ya Japan.

Kweli Masoud Kipanya hajatengeneza kitu kipya lakini ameweza kutengeneza chombo cha usafiri kwa ukamilifu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Haya magari ya Arusha ni magari kamili ya Toyota wao wametoa injini na kuweka mota, hawawezi hata kuwa na hati miliki ya hayo magari.

Elewa kuwa mimi sikatai kuwa Masoud ni mtu wa media na kuna watu wengine wameshafanya projects za magari ya umeme. Tatizo langu ni serikali kuchukulia poa vitu vyetu. Nimesha liongelea sana hili kwa nchi yetu kutokuenzi vya kwetu, niliwahi hata kutoa mada picha hapa 2011 kusifia tekinolojia ya Nyumbu.


Tekinolojia za magari ya umeme ni za zamani kuliko hizi za mafuta, lakini sasa zimerudi kwa kasi. Na kwa jinsi bei ya mafuta kutokutabirika (kama ilivyo sasa kutokana vita ya Ukraine), ni wajibu wetu kuwapa moyo wale waliothubutu kutafuta mbadala wa matumizi ya mafuta.
 
I made comments about the fact that Big tech giants are choosing Nairobi to open their proxy centers in Africa, and some people thought that Kenya was better off without those companies because they are from the capitalist west. How low does one has to sink to say such a thing? I just know it’s jealousy. I’m Tanzanian, but I know better and I speak the truth. Kenya is benefiting greatly from the presence of these firms. At first it was Amazon, but now more companies are following suit. Tanzania is yet to open her eyes to figure out a way to attract such companies.

And I just heard that Kenya approved the first coding syllabus for schools, a great move. If tech companies are going to establish their offices in Nairobi, you need Kenyans to actually get the jobs and exposure! Tech is the future….just ask India.
Kinachowapeleka huko Kenya ni skilled manpower na sera rafiki za biashara..

Hata hivyo sio lazima na Tzn kuwe na hizo kampuni,sisi tukomae sehemu ambayo tuna absolute comparative advantage kama kilimo,utalii,mining industry,forestry na logistics centre..

Turkey haina hizo mashirika mengi kama ilivyo London lakini inachanja mbuga kuliko hao England.
 
Tanzania ni fukara, level ya Malawi.., watu wa mihogo na maharage., uchochole kila sehemu, yaani iko wazi sana.., kisa uzembe na ujinga, sio corrruption ama eti vita.., yaani mnapenda kijitetea sana!, Ghana is above Tanzania by far on standards of living, wacha kujikweza, mko way below., danganya asie ijua Tanzania., mko ovyo., pato la taifa kwa mwaka ni dhihirisho mwafaka.., mko wengi, nchi kubwa pato duni, ufukara and laziness detected 🤣 😂
Endelea kujifariji,Wakati your country's current is losing,ours is gaining the strength..

Screenshot_20220416-102142.png
 
Back
Top Bottom