xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
Na mimi nlete za wakenya?
Na mimi nlete za wakenya?
Hili nalo neno...Kaka usitishike, wala hakuna ujiko wowote kuwa na hayo maofisi ya kigeni nchini. Juzi mwenzetu Masoud amezindua gari la kutatua matatizo ya mwananchi, badala ya serikali kumtia moyo, viongozi wa kuu hata hawakuwepo. Tunakaa kushabikia vya watu wakati vyetu tunavikaushia.
Tanzania ni fukara, level ya Malawi.., watu wa mihogo na maharage., uchochole kila sehemu, yaani iko wazi sana.., kisa uzembe na ujinga, sio corrruption ama eti vita.., yaani mnapenda kijitetea sana!, Ghana is above Tanzania by far on standards of living, wacha kujikweza, mko way below., danganya asie ijua Tanzania., mko ovyo., pato la taifa kwa mwaka ni dhihirisho mwafaka.., mko wengi, nchi kubwa pato duni, ufukara and laziness detected 🤣 😂World Bank ipi mkuu? Hii iliyoiweka Russia ni nchi masikini inayoendelea lkn Leo Russia anamnyoosha ndugu yake Ukraine alafu dunia nzima imepoteza mwelekeo?
World bank inayotoa list kila mwaka Tz GDP ni $60 alafu Kenya inapaa,kisa Tz tumekataa kuwa chawa wa mabeberu?
On ground Tz tuna maisha mazuri kuliko nchi yoyote hapa East Africa,ukibisha njoo na fact..alafu mabeberu wanatulist nchi masikini nyuma ya Ghana,nyuma ya Kenya alafu mnachekea mmetupita.. really!!?
Wakenya mna tofauti gani na mtu anayekula ugali Kwa picha ya samaki aliyenona? Alafu aliyekuwekea picha (beberu) anakusifia unafaidi sn kisha unaitikia asante,Kama zuzu fulani.Waambieni hao mabeberu watuweke kapu moja Sawa na Burundi hatujali..Stuka mkenya!!
usinitake nizimie kwa kicheko, alshaabab wanavyoyaua kama nzi! tena ndani ya mipaka ya kunyaNyie ndo huwa amfi vitani?
Kwahiyo hata huyo dada ni CCM?, Wakenya wanaokufa kwa njaa ni uongo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania ni fukara, level ya Malawi.., watu wa mihogo na maharage., uchochole kila sehemu, yaani iko wazi sana.., kisa uzembe na ujinga, sio corrruption ama eti vita.., yaani mnapenda kijitetea sana!, Ghana is above Tanzania by far on standards of living, wacha kujikweza, mko way below., danganya asie ijua Tanzania., mko ovyo., pato la taifa kwa mwaka ni dhihirisho mwafaka.., mko wengi, nchi kubwa pato duni, ufukara and laziness detected![]()
![]()
Unaandika insha utadhani itahalalalisha na kuwa ukweli hizi pumba unazoziandika.
Iko too obvious, wanajitia hamnazo.,First of all, that girl didn't speak negatively about Kenya so what's your point?
You get excited over tiny things. You've been sharing this video here for months - do you know how many foreign Youtubers have positive reviews about Kenya? How come those who visit both Kenya and Tanzania always say Kenya is better? I'm sure if this girl also visited Kenya, she would say Kenya is better than Tanzania.
Nilifuatilia uzinduzi wote, hata yule mwakilishi hakuwepo wakati wanaanza ufunguzi.Mkuu msikilize Masoud Kipanya mwenyewe anasemwa alikuwa anawasiliana na waziri husika na alikua afike, lakini siku Moja kabla ratiba yake ilibadilika akatuma wawakilishi wake
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukweli itabakia pale pale, rudi ukalale pale uswahilini., nawajua hadi mvunguni mwa vitanda vyenu..,
Kwanza😥View attachment 2195015😄😄😄😄😄
Crime Tanzania are the new rapists in town, they have no police system, no justice system, poor education system, poor executive system what is there remaining to be proud of?Hahahaha, your country is a failed state, njaa, crime, police killings, unemployment, corruption, and Tribalism, are these what you mean by education?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Woiye mnahurumisha hehe this the only thing you now have to post old news hehe
Crime Tanzania are the new rapists in town, they have no police system, no justice system, poor education system, poor executive system what is there remaining to be proud of?
Most stupid question nimeona Kwa mtandao today... Really? The biggest companies in the world invest in a country and you ask what is the advantages hehe am even ashamed that this are the kind of people I engage in debates withLabda mie mshamba em naombeni faida za izo ofisi kua kenya znazo mgusa commonmwananchi
Tunajuwa aliyewafundisha propaganda ni nani lakini siku zote maji yatuamapo, tope lote hulala chini. Nyie ni tope tuu.Crime Tanzania are the new rapists in town, they have no police system, no justice system, poor education system, poor executive system what is there remaining to be proud of?
Hivi si Kenya juzi kati mzee wa nduti alibaka mtalii au unadhani hatukusikia!
Huko kwenye ni vitu normal wala sio breaking news.
Tanzanians are rapists the whole world knows their hotels are not safe did you miss that conversation?


