Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ooh no.. what a blunder.!...
Aliko Dangote angalifanya research kwanza kabla ya kuwekeza mabillioni ya fedha tanganyika.. atakuja tu ku regret sikumoja, coz kenya is where the whole world is running to. as in kenya is the real deal..!💥🔥🔥

Screenshot_20220421-170217_Chrome.jpg
 
ooh no.. what a blunder.!...
Aliko Dangote angalifanya research kwanza kabla ya kuwekeza mabillioni ya fedha tanganyika.. atakuja tu ku regret sikumoja, coz kenya is where the whole world is heading to. as in kenya is the real deal..!

View attachment 2195498
unadhani huyo ni mfanya biashara wakuuza githeri ,na unadhani alikurupuka tu kutoka usingizini na akawaza kufungua Tz kiwanda ghafla,

acha ushamba

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
now this is what i referred to as was a waste time, resources and unnecessary maintenance contracts in the days to come.. their was no need for this greenery thing. civil engineering mostly entail dealing only with, concrete, steel, quarrystones, sand, gravel, timber... unless flowering on ReinforcedConc. Structural Columns is a new topic.. i never heard tht in the engineering class
Hiyo ni kazi ya manispaa kupendezesha jiji lakini ot seems bado wako usingizini
 
Sikatai kwamba mna potential sana hususan kwenye mining na ndio maana ninasisitiza kwamba muweke nguvu zenu nyingi kwenye kuendeleza hii sector. Ila kwenye gdp huwa hatuhesabu future economic activities, kama tungekuwa tunafanya hivyo basi DR Congo ndio ingekuwa the richest country in the world kwa maana wao wana akila aina ya madini. Kwenye gdp tunaangalia current economic activity, yaani mnazalisha nini kwa sasa? Wachumi hawana haja ya kujua kama mna reserve kubwa ya gold, hio haina maana yoyote ikiwa hamna uwezo wala teknolojia ya kuchimba madini hayo.
Wawekezaji wanapenda kutulalia kwenye bargain sasa sisi tumeweka terms zetu nzuri tuu ambazo ni win win kwa kila mtu it is up to them to take it or leave. For now watakimbilia sehemu nyingine kwasababu ya system dhaifu ya hizo nchi ambazo zinawanufaisha.
 
Nairobi suburbs. Ile siku wabongo wataanza kupost maeneo wanaishii, nitafunga account. 😝

Image
I once told these fools that Kilimani has better roads than Posta. This picture is now proving my point to be right.
 
wote tnajua ugumu wa kuajiriwa kwe hayo makampuni makubwa ya technology swali ni je wakunya wangapi wataajiriwa kiasi cha kuleta +impact kwe jamii?
Wapo watu wenye qualifications za kukidhi vigezo vya kampuni hizo. Huwezi kusema kuwa nchi nzima haina watu wenye sifa za kuajiriwa. Pia hata kama wapo wachache, kuna job training zinafanywa na makampuni. And Kenyans are smart! Wame-approve curriculum ya coding kwenye shule zao tayari! Kwa hiyo utegemee watoto wao kuanza kuingia kwenye filed ya IT.
 
Back
Top Bottom