Hakuna mtu anapinga yote haya, Je faida zake utalinganisha na uwekezaji unaofanywa na makampuni ya madini Tanzania?, Kwa mfano mradi wa 'Kabanga Nickel' pekee huko Kigoma utalipa Kodi kubwa, utatoa ajiri nyingi kwa watanzania tena wale wa kawaida huko mikoani kuliko hizo ofisi zote kwa pamoja.
Nchi haziwezi kufanana katika uwekezaji, Kenya kwa historia yake imekua ndio HQ ya wakoloni toka enzi za ukoloni, muhimu ni kuangalia Kama hayo makampuni kweli yanabadilisha hali ya maisha ya wakenya wa kawaida Kama ambavyo uwekezaji katika sector ya madini unavyobadilisha maisha ya watanzania wa hali ya choni?
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app