Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa ile post ya mwenzangu ulio jibu, did he say tunalingana popote? or alimaanisha Kenya has grown in leaps and bounds to be behind them? wewe ni wivu ilikusukuma ku respiond bila kuelewa, sasa unalazimisha fikra zako kando ya mada ndio maana any ranking ya different sectors ikichapishwa baada ya utafiti mwafaka, Kenya inatajwa mara mingi to be next to SA na N igeria or not very far from SA for that matter, ama utasikia outside SA Kenya is leacding in real estate etc.., tuna grow wivu ikiendelea kukunyonga wewe
Alisema hivi Sasa Kenya inaikaribia South Afrika kwenye GDP, miaka ya nyuma GDP ilikua x14, hivi Sasa ni only x2

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hiv wakenya kwann mnapenda kushare vitu vya miaka ya nyuma.. mwingine kapost picha yupo lab ya chuo ya mwaka jana..wew nae unatuletea certificate ya mwaka 2016.. kama mnaamua kupost..postini vitu vya mwaka huu..yan isizidi hata mwezi..zikivuka mwezi mmoja tunajua upo kitaa tu saiz huna mishe
umeamua kuwatolea uvivu mzee

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Punguza ushamba wakenya kwenye fashion mpo zero 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo inaitwa brogue shoes vitu vya UK!View attachment 2193844View attachment 2193846
🤣🤣🤣😂🤣😂😂
Hii miguu kuni siya viatu hivi bwanq 🤣 🤣🤣🤣
IMG_20220420_104815_161.jpg
images.jpeg
 
Alisema hivi Sasa Kenya inaikaribia South Afrika kwenye GDP, miaka ya nyuma GDP ilikua x14, hivi Sasa ni only x2

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Exactly, inaikaribia na akaweka facts kudhibitisha.., $116B vs $300B plus ya SA., so mbona inakuuma sana ukiskia hapo awali uchumi wa SA ulikua mara 14 ya Kenya na ila kwa sasa ni around 2.5 pekee, ama amedanganya na facts ziko wazi? nyie mko vipi?.., onyesha porojo basi kama sio wivu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
kwa kifupi leo bwana mapesa mzee wa Lab ,mkali wa 4 angle man a.k.a kijana aliyezeeka na kupitwa na wakati Teargas leo ameenda shop kununua pamba na buti jipya ili ajipige picha na kuja kuringishia kwa hii thread

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wewe ndio ungefaa kuitwa kondegang juu hile kukonda umekonda sio wa hii dunia😂😂😂. Yani wewe ni mifupa kwanza kichwa hadi miguu😂😂🤣

tapatalk_1609676598941 (1)_1.jpeg
 
Kwa hii thread Kuna wenye hawafai kuongelea njaa, watu kama hawa🤣🤣😂

tapatalk_1609676598941 (1)_1.jpeg
 
Exactly, inaikaribia na akaweka facts kudhibitisha.., $116B vs $300B plus ya SA., so mbona inakuuma sana ukiskia hapo awali uchumi wa SA ulikua mara 14 ya Kenya na ila kwa sasa ni around 2.5 pekee, ama amedanganya na facts ziko wazi? nyie mko vipi?.., onyesha porojo basi kama sio wivu
Mimi nimemuambia atuwekee vitu vya maendeleo ambavyo Kenya inaikaribia SA Kama ambavyo GDP onavyokaribia ili tulinganishe pia, tuanze na
1)Viwanda
2)Kilimo
3)Usafirishaji
4) Utalii
5)Reli na Barbara

Ninyi kazi yenu ni GDP ambayo haio ikani inachokifanya, ni maneno tupu. Ukisema upo na pesa, lazima muonekano wako uendane na pesa, Kenya mnapiga kelele za GDP lakina muonekano wa nchi na wananchi ni tofauti kabisaa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Good morning ladies and gentlemen. Our one and only watchman in this thread is sending his greetings to you all🤣😂😂

Screenshot_20220419-221304.jpg

images (72).jpeg
 
Mimi nimemuambia atuwekee vitu vya maendeleo ambavyo Kenya inaikaribia SA Kama ambavyo GDP onavyokaribia ili tulinganishe pia, tuanze na
1)Viwanda
2)Kilimo
3)Usafirishaji
4) Utalii
5)Reli na Barbara

Ninyi kazi yenu ni GDP ambayo haio ikani inachokifanya, ni maneno tupu. Ukisema upo na pesa, lazima muonekano wako uendane na pesa, Kenya mnapiga kelele za GDP lakina muonekano wa nchi na wananchi ni tofauti kabisaa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The good thing muonekano wa Kenya umeshinda wa Tanzania by far😂😂🤣. Try to imagine this is the biggest city in Tanzania and the best place of the entire city 😂🤣🤣

tapatalk_1646487479350.jpeg
 
Back
Top Bottom