Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ni matatu either ni cleaner, watchman ama casual labourer. Hakuna professional atavaa haya magwanda. Siku zote mtu mwenye mdomo mwingi mtandaoni kiuhalisia waga hakuna kitu.
 
Contract yako ya watchman ikiisha uje nikupatie kazi ya kuchunga ng'ombe[emoji1787][emoji23][emoji1787]

View attachment 2193930

View attachment 2193931

View attachment 2193932
Heheheheeee, aviation industry hiyo tunavaa hivyo najua mnaumia mkiona nipo mbali [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220420-121227.jpg
 
Nikiangalia random clips ya street level in Dar raiya wengi kwa streets wakiendelea na shughuli zao, wengi wanaka washamba sana ata kimavazi so kauli yako ni kwa wachache waliochanuka, wengi ni hovyo.., ama unabisha?🤣😂😂😂😂😂
Tukianza battle ya mavazi mtakimbia trust me🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣katika ukanda huu hakuna watu wanatupia pamba Kali kama Sisi!
 
Mambo ni matatu either ni cleaner, watchman ama causal labourer. Hakuna professional atavaa haya magwanda. Siku zote mtu mwenye mdomo mwingi mtandaoni kiuhalisia waga hakuna kitu.
Teargas unasikia anakuchana mkunya mwenzio, nafurahi kuona mnaiogopa kazi yng ila vitu vdg tu hivyo msiogope [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums500937414.jpg
 
Kwahio akaona asimame kando ya Bendera ya south korea
Mbona Una maswali ya kiboya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣we nenda kwenye ofisi ya ubalozi wa mwakilishi wa Sudan uombe kupiga picha pia🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mambo ni matatu either ni cleaner, watchman ama casual labourer. Hakuna professional atavaa haya magwanda. Siku zote mtu mwenye mdomo mwingi mtandaoni kiuhalisia waga hakuna kitu.
Huyu ndiyo kaonesha uoga wa kupindukia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo ni matatu either ni cleaner, watchman ama casual labourer. Hakuna professional atavaa haya magwanda. Siku zote mtu mwenye mdomo mwingi mtandaoni kiuhalisia waga hakuna kitu.
Jamaa ni watchman 😂😂😂🤣
 
Jamaa ni watchman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Tunza ile picha sehemu nzuri dada zako wasiione [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tukianza battle ya mavazi mtakimbia trust me🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣katika ukanda huu hakuna watu wanatupia pamba Kali kama Sisi!
Mimi naweka random street clips sio vipicha vyenye umeokota na kuchagua kwa maakini kueneza propaganda mnavyo penda, ata Somalia wanazo ukitaka. Nachukua random clips za street, youtube iko.., kuna Vlogs kibao za Kenya na Tz tu.., normal dressing ya Tz ni ya kishamba sana.., ila mko very African kimavazi but not trendy as u might want to believe, kila mtu sio msanii dogo.., weka clips mimi nitakuwekea from Dar to Arusha n Mwanza., uone mavazi ya watu wanaotembea kama kawaida., ule ujanja wenu wa kukagua sehemu nzuri alafu mnaficha ile kubwa yenye ni mbovu (kama vile Dar Vs Nairobi) haitakukomboa.., weka clips.. latest from 2021 na 2022..., ujionee mlivyo, wacha nikucheke mapema 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom