Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Then why is my presence here bothering you?🤣😂😂🤣Vema, una mchango mkubwa sana kufanya hii thread iendelee kutrend,
I value that .![]()
Then why is my presence here bothering you?🤣😂😂🤣Vema, una mchango mkubwa sana kufanya hii thread iendelee kutrend,
I value that .![]()
Hata uongee kijapani but ukweli itabaki kuwa Kenya Controls Tanzanian economy 😂🤣Mlavage imbwa iyi kangi,
Uluhala watemalye kumadako.
Superpower while you die of hunger, are you not stupid enough?. Ethiopia wamejenga bwawa kubwa la umeme lenye kuzalisha umeme mara tatu ya mahitaji ya umeme wanaohitaji, umeme wa ziada watauzia nchi za jirani ikiwemo Kenya, Sasa hiyo Geotherm ni kwajili gani?.Tatizo hamna akili ya kufikiria kwa undani, ukiona kitu kimeandikwa kwenye gazeti hamuwezi kufanya "Critical thinking", hovyo Sana ninyiUsituletee ignorance yako hapa, Kenya is East African superpower for a reason
View attachment 2192414
Which critical thinking do you have?🤣🤣 Kwani those Ethiopians that contracted KenGen to drill geothermal well for them ni wajinga? Ukiendelea kulia, KenGen is doing the same in Djibouti 😂😂🤣Superpower while you die of hunger, are you not stupid enough?. Ethiopia wamejenga bwawa kubwa la umeme lenye kuzalisha umeme mara tatu ya mahitaji ya umeme wanaohitaji, umeme wa ziada watauzia nchi za jirani ikiwemo Kenya, Sasa hiyo Geotherm ni kwajili gani?.Tatizo hamna akili ya kufikiria kwa undani, ukiona kitu kimeandikwa kwenye gazeti hamuwezi kufanya "Critical thinking", hovyo Sana ninyi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
..hapa, yani watanganyika wametulia.. tuli.!!Proudly assembled by Banbros Kenya.
View attachment 2192028
View attachment 2192029
View attachment 2192030
Geotherm ni kwa ajili ya nchi zenye mahitaji makubwa ya umeme na hawana umeme wa kutosha wa maji, Hilo bwawa la Ethiopia likizalisha umeme "full capacity" hizo Geotherm sources wataachana nazoWhich critical thinking do you have?Kwani those Ethiopians that contracted KenGen to drill geothermal well for them ni wajinga? Ukiendelea kulia, KenGen is doing the same in Djibouti
View attachment 2192426
Endelea kulia 🤣😂😂Geotherm ni kwa ajili ya nchi zenye mahitaji makubwa ya umeme na hawana umeme wa kutosha wa maji, Hilo bwawa la Ethiopia likizalisha umeme "full capacity" hizo Geotherm sources wataachana nazo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Every motor vehicle in Tanzania is either imported from Asia, America and Europe or assembled in Kenya.🤣😂😂 It's only those two options...hapa, yani watanganyika wametulia.. tuli.!!
hivi hakuna hata moja ambaye ameweza ipongeza kenya kwa kazi nzuri tunayo wafanyia kwenye viwanda zetu za nbi na msa.
kumbe hizi mabasi zao wanayo tulingia hapa kilasiku, yani ni vitu vimepikwa tu humu nchini...🤔 mzuri sana kujua vile
Mnavutaga bangi si ndioThere's no list from Forbes talking about East Africa. Forbes only mentioned richest artists in Africa and this is how it came out
View attachment 2191553
View attachment 2191554
Code za the Great Iringa Hehe Tribe. 😂😂😂Mlavage imbwa iyi kangi,
Uluhala watemalye kumadako.
mwanzo wee gameover ndo una angaika zaidi hauna kazi mle iringa mashambani..By the way [mention]Teargas [/mention] apart from JF do you have any other bussiness , yaani what do you do for living, maana kila nikichungulia you are always on JF 24/7
are you jobless ? Naweza kukupa kazi shambani kwangu.
naona wanaporomosha mijengoI love Ethiopians , they don’t make noise yet Adis Ababa is this transforming ,
I don’t know the details of this new skycreeper but I guess it is the Tallest in East Africa View attachment 2192285
kwa social networks na webhuwa wanatengeneza habari uchwala na wanazitumia kama evidenceMnavutaga bangi si ndioView attachment 2192458


Wanapenda sana kujidanganya.kwa social networks na webhuwa wanatengeneza habari uchwala na wanazitumia kama evidence
hao ndiyo wakenya bhana,na vipo vitu vingi tu mbali ya hiyo
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
😂😂Wanapenda sana kujidanganya.
Kila siku nauliza hpa hayo mabus mnayotengeneza halafu mnapeleka wap kwasabab barabara yamejaa maisuzu chakavu tu...hapa, yani watanganyika wametulia.. tuli.!!
hivi hakuna hata moja ambaye ameweza kuipongeza kenya kwa kazi nzuri tunayo wafanyia kwenye viwanda zetu za nbi na msa.
kumbe hizi mabasi zao wanayo tulingia hapa kilasiku, yani ni vitu vimepikwa tu humu nchini...mzuri sana kujua vile

Uhuru na Kazi ni slogan ya NyerereI don't remember anywhere Tanzania used "somebody na Kazi" tangu ipate uhuru. Na kama the word "Kazi" ndio inakunyima usingizi, hiyo pia I don't remember the day Tanzania patented the word "Kazi".
We taahira kweli, Uhuru na Kazi ni series ya Mwalimu Nyerere baada ya slogan ya Siasa ni KaziKibaki used the slogan "Kazi iendelee" in 2007. Ama hiyo time Magufuli was your president na alishaanza kutumia "hapa Kazi tu" slogan?😂😂😂 Again "Uhuru na Kazi" slogan was coined by Mzee Jomo Kenyatta.
Wacha kubishabisha vitu usivyovijua utazidi kulimbikiza ujinga, soma faida na hasara za "remittances"Kuna mtu humu alikuwa anasema kwamba remittances ni utopolo mtupu. Anadharau dollars ambayo immigrants wanatuma nyumbani kwamba haina umuhimu wowote katika uchumi wa Kenya. Anasema kwamba yaya wanaofanya kazi Dubai, pesa wanaotuma haina umuhimu wowote. Sasa Tazama Sri Lanka imeshindwa kulipa madeni yake. Imeshindwa kununua madawa na mafuta ya petrol na diesel kwa kukosa dollars. Lakini kulingana na huyu genius wa huku, remittances ni utopolo mtupu na hauna umuhimu wowote katika uchumi wa Kenya.