Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watanzania kitu gan tuko proud nacho dhidi ya wakenya ambacho kimefanywa au kimeanzishwa na serikali ya sasa? aise we really need leaders with great vision!
also tbh, we’re really now living in a hopeless country
 
Mmoja nimekutana naye huko nikampa kubwa naona kaenda mazima…..
IMG_9582.jpg
 
Kama kawaida yenu kutembelea nyota za wengine, hapa "kazi" tuu na "kazi" iendelee.
I don't remember anywhere Tanzania used "somebody na Kazi" tangu ipate uhuru. Na kama the word "Kazi" ndio inakunyima usingizi, hiyo pia I don't remember the day Tanzania patented the word "Kazi".
 
I don't remember anywhere Tanzania used "somebody na Kazi" tangu ipate uhuru. Na kama the word "Kazi" ndio inakunyima usingizi, hiyo pia I don't remind the day Tanzania patented the "Kazi".
Nitajie kipindi chohote nchi yenu kutumia slogan ya * kazi * katika siasa zenu kabla ya Magufuli kuja na hapa kazi tuu.
 
Nitajie kipindi chohote nchi yenu kutumia slogan ya * kazi * katika siasa zenu kabla ya Magufuli kuja na hapa kazi tuu.
Kibaki used the slogan "Kazi iendelee" in 2007. Ama hiyo time Magufuli was your president na alishaanza kutumia "hapa Kazi tu" slogan?😂😂😂 Again "Uhuru na Kazi" slogan was coined by Mzee Jomo Kenyatta.
 
Back
Top Bottom