Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi mkiwa na njaa mnafikiria vipi?
Muna magari lakini chakula hamuna sijui utajiri gani huu.

Duh Yaani hata inasikitisha kiukweli, nashangaa hawa wapumbavu huwa wanajitapa nini sasa, em angalia nyumba zao

Kama unatoka kwenye nchi ya aina hii kwanini unadharau? Sio umaskini tu wa makazi na hali lakini umaskini wa chakula ni mbaya Sana na unadhalilisha

Ngoja waje kusifia Expressway ya millions of loans huku chakula hawana
 
Watafanyaje sasa na wanaishi kwenye shamba la familia.

Nairobi

20220418_174836.jpg

20220418_173827.jpg
 
Back
Top Bottom