2021 tuliwashinda kwa revenue na tutaendelea hivyo hivyo especially now that Covid restrictions have been lifted.Kuna mwaka mmewahi kutushinda kwa revenue hata kipindi sisi tunapata namba ndogo ya tourist kuwaliko.?
2021 tuliwashinda kwa revenue na tutaendelea hivyo hivyo especially now that Covid restrictions have been lifted.Kuna mwaka mmewahi kutushinda kwa revenue hata kipindi sisi tunapata namba ndogo ya tourist kuwaliko.?
Kwanza Uber alishashindwa muda mrefu sana, Bolt kamgaragaza vibaya sana na sasa kuna Linkee na wengineo wanakuja. Hata mimi muda si mrefu natoa ya kwangu kudadadeki 😎Ndio maana biashara za kimataifa zinafeli zote huko bongo kwa sababu ya akili mgando wa aina hii. Ndio maana Uber na Standard Chartered zimeondoka lazyland wiki hii.
Kwa revenue mnasoma number😂😂😂😂😂 Tz ime record 1 million tourists, sasahiv hakuna kitu mnatukaribia, si kwa namba ya watalii wala mapato, tafadhali weka sawa facts zako
Mombasa has more bridges than Dar is slumTz, home of iconic bridges in EA .. eti mzee Teargas vipi hapo moyo unakuuma.? 😂😂😂 Njoo ulivunje.. Wami bridge 👇View attachment 2190107View attachment 2190108View attachment 2190109
Wake up young witchKuna mwaka mmewahi kutushinda kwa revenue hata kipindi sisi tunapata namba ndogo ya tourist kuwaliko.?
China hategemei UtaliiChief, haya mambo tumejifunza kwa wazungu. Haya uliona wapi Raisi wa nchi zinazojielewa mfano China akienda kutangaza utalii kwenye nchi nyingine. Hua wanatoka kwa maswala mazito sana. Gandhi ya ikikuisha ndio utaja nielewa, ila kwa sasa nakuacha tu
Endeleeni kumshauri mama vibaya, mtajuta...China hategemei Utalii
Ndio tabia za kina mama wasioona mbele, anamshtaki baba kisa kamchapa mtoto alipokosea, sasa baba kafungwa jela mama majukumu yanamzidi anaanza kudanga ili kupunguza mzigo wa majukumuAnamsuta Mwendazake sio wananchi,yule alikuwa na tabia za kishenzi Sana.
Asutwe Ili iwe fundisho kwa wengine hakuna cha marehemu wala cha nini.
Asantee... Naisave hii 🤣🤣🤣
Ndio tabia za kina mama wasioona mbele, anamshtaki baba kisa kamchapa mtoto alipokosea, sasa baba kafungwa jela mama majukumu yanamzidi anaanza kudanga ili kupunguza mzigo wa majukumu
Mbele wapi ambako haoni?Ndio tabia za kina mama wasioona mbele, anamshtaki baba kisa kamchapa mtoto alipokosea, sasa baba kafungwa jela mama majukumu yanamzidi anaanza kudanga ili kupunguza mzigo wa majukumu
Pitieni hii thread.. zanzbar imechafuliwa balaa kisa hii warere hotel.. au andiken hata neno zanzbar muone watu wanavyoongea
Tujutaje wakati tunavuna pesa?Endeleeni kumshauri mama vibaya, mtajuta...
i played a major role in this project.!Busia cross boarder fish transshipment market. The biggest fish market in East Africa.
![]()