Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pitieni hii thread.. zanzbar imechafuliwa balaa kisa hii warere hotel.. au andiken hata neno zanzbar muone watu wanavyoongea
Mda mwingine wanakulaga vitu vya watu baadae wanazuga kua wanabakwa . Sasa kwa mfano huyo jamaa kaingiaje ndani ? Halafu serious huyo kasema kupimwa kama kaingiliwa eti , checking for penetration design kama anazingua . Japo hicho kitendo kinachafua sana taswira ya Zanzibar
 
ZANZIBAR NA TANZANIA NDANI YA MATOPE. Kamati ya roho chafu, mutajua cancel culture ya twitter is no joke.
 
Pitieni hii thread.. zanzbar imechafuliwa balaa kisa hii warere hotel.. au andiken hata neno zanzbar muone watu wanavyoongea
Huyu Dada yuko kwenye mission ya kutuchafua tu. Au alikunywa mapombe ya watu huko baharia akataka kujilipa matumizi.

Hakuna Habari za hivyo Bongo... Tena Kwa foreigners hotelini! Bora ingekuwa uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wengi wanakimbilia Tz kuliko nchi nyingine yoyote ya Afrika, yn hii ndiyo Europe yao.
Nipo kwenye ka joint flani huku mikoa ya juu juu.. Meneja ni mkenya na karibu 50% ya wahudumu ni wakenya... Nimetupia entry ila hawasomeki maana ni wagumu wagumu sana hawatingishiki kabisaa

Wananichosha masikio tu hapa na dirty language sheng

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Cancel culture imeanza. Tanzania last year ilipokea almost half million tourist more than Kenya lakini tuliwashinda kwa revenues. Hatukatai mukona plenty of tourist attraction sites lakini customer service ndio muhimu na hapo ndio Kenya huwa imewazidi.

Mzee hao Wafaransa sio Mungu. Na Kenya sio weak unavyodhani wewe. Watu wangapi wamejaribu kutuangamiza ikiwemo Al Shabab na wameshindwa? Uzuri hatufanyi biashara na France kwa sana kwa hivyo hatuwategemei kwa lolote. Ingekuwa Netherlands au UK ndio pengine tungehaha.
Hamaki ya Hali ya juu.. Katibu ana anza kulainisha hapa kwamba jamaa hakufukuzwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pitieni hii thread.. zanzbar imechafuliwa balaa kisa hii warere hotel.. au andiken hata neno zanzbar muone watu wanavyoongea

Huyu naye anatuchafua tuu yani baada ya mwaka ndio anashtuka kuposti kitu cha kwanza kama alikua anaona polisi hawatoi ushirikiano angeenda kwenye ubalozi wao wangemsaidia vizuri tuu sio kuposti twita
 
Relax. Mim naona ni hio warere hotel ndo wanashida na si zanzibar yote inachafuka..

Afu nimeona comment hapo juu eti tuliwazid idadi ya watalii afu wao walitupita revenue 🤣🤣 jamaa bana kwa kudandia mambo 🙌 hajui sis tunapokea watalii wachache wenye kuleta pesa nying..afu wao wanapokea watalii weng wenye kuleta pesa ndogondogo..huu mjadala uliwah kudiscussiwa humu ndan

On ther side mama yupo kuzindua royal tour.. wrong timing. something is fishy🤔
 
Hahahaha Cancel culture imeanza. Tanzania last year ilipokea almost half million tourist more than Kenya lakini tuliwashinda kwa revenues. Hatukatai mukona plenty of tourist attraction sites lakini customer service ndio muhimu na hapo ndio Kenya huwa imewazidi.

😂😂😂 Tz ime record 1 million tourists, sasahiv hakuna kitu mnatukaribia, si kwa namba ya watalii wala mapato, tafadhali weka sawa facts zako
 
Kuna black american youtuber alilalamika hivyo hivyo akasema anaamia ghana . Lakini mwezi uliopita nimeona karudi Tanzania . Kimsingi wabongo wengi wapole na wavumilivu lakini hawapendi dharau . Unaweza kuta kadada kameleta utapeli waapenzi hapo ndio utajua ukorofi wa mtu mpole although sio jambo zuri kwa kuzingatia Zanzibar inategemea utalii kiasi kikubwa
 
Tz, home of iconic bridges in EA .. eti mzee Teargas vipi hapo moyo unakuuma.? 😂😂😂 Njoo ulivunje.. Wami bridge 👇
FQdISpAWYAIqcQf.jpeg
FQdISbKXIAQvrYM.jpeg
FQdISLpX0AMP5HL.jpeg
 
Relax. Mim naona ni hio warere hotel ndo wanashida na si zanzibar yote inachafuka..

Afu nimeona comment hapo juu eti tuliwazid idadi ya watalii afu wao walitupita revenue 🤣🤣 jamaa bana kwa kudandia mambo 🙌 hajui sis tunapokea watalii wachache wenye kuleta pesa nying..afu wao wanapokea watalii weng wenye kuleta pesa ndogondogo..huu mjadala uliwah kudiscussiwa humu ndan

On ther side mama yupo kuzindua royal tour.. wrong timing. something is fishy🤔
Yani huyo anatuchafua tuu hamna lolote aende akapambane na Boko Haram huko
 
😂😂😂 Tz ime record 1 million tourists, sasahiv hakuna kitu mnatukaribia, si kwa namba ya watalii wala mapato, tafadhali weka sawa facts zako
Mulipata 1.2 million tourist while sisi tulipata around 800k na bado tuliwashinda kwa revenue.
 
Hicho kichwa chako kimeanza kuoza ,yumkini unashindia viporo..

Kwa hiyo Balozi au Waziri Wana uzito sawa?

Nimewahi ku attach photos humu za Museven akitangaza utalii wa Nchi yake na kashiriki,hakukuwa na Balozi au Waziri? Acha utoto
Chief, haya mambo tumejifunza kwa wazungu. Haya uliona wapi Raisi wa nchi zinazojielewa mfano China akienda kutangaza utalii kwenye nchi nyingine. Hua wanatoka kwa maswala mazito sana. Gandhi ya ikikuisha ndio utaja nielewa, ila kwa sasa nakuacha tu
 
Back
Top Bottom