Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilifi County Funeral Home.

Huezipata morgue safi hivi Tanzania.😂

1649342477939.jpg


1649342451846.jpg


1649342459988.jpg


1649342430122.jpg
 
Umeona sasa umeshaniweka kwenye kundi la majizi, sasa ninazipigia wapi mie mkuu hata kwenye chain ya uongozi siko huko ?

Watafutwe wote wakamatwe na kushitakiwa kama ni kweli wameiba. Wakiwajibishwa wenye mpango wa kuiba hawataiba tena ndio maana tuko hapa kukemea uovu.

Uovu ni uovu tu hata kama ulitokea awamu ya 3 wote wawajibishwe,hakuna kulaumiana hapa.
Umeonae, wanatuletea maneno tu lakini hatuoni watu wakiwajibishwa. Pia tunajua kabisa now kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, bila shaka ukila urefu ya kamba yako CAG hana haja ya kukureport. CAG anakaza msuli kukagua report za kipindi ambacho alishatoa report yake, Hivi leo alitakiwa kureport 2020/2021 au 2021/2022?
 
diamond platnumz ni msanii aliye na kipaji cha kipekee.. hakuna anayepinga ueledi wake. tajriba si mtoto anayo.....
ila tu, ila tu...... mtoto huyu nyimbo zake zote inakosa content ama maudhui.!. kilauchao utamskia akisifia tu ngono.. ngono.. hakuna kingine bali ngono...
wimbo kama, 'IYO' utaipenda sana jinsi inavyo anza, ila mistari inayo introduce wimbo ni..

"Godoro tunaloeka maji........😳😳!!!!"

realy Diamond.! abek you of all the pple.!?🤔.. you.. a whole 38yrs old celebrated african icon ! with all those awards and accolades in your hand still singing like a Form2student.!! think diamond needs an advisor, a cansellor, a good manager, a competent psychiatrists and needs to go thru' a mentorship programme.. kama bado ananuiya kua relevant huku kenya. o'thwise naona wakenya wengi wameanza kumtoka

Screenshot_20220417-005908_Chrome.jpg
 
diamond platnumz ni msanii aliye na kipaji cha kipekee.. ana ueledi na tajriba tosha.....
ila tu mtoto huyu nyimbo zake zote inakosa content hata.!. kilauchao kusifia to ngono ngono ngono... wimbo kama, 'Ayo' inaaza vizuri sana ila the very first words inaku hit ni "Godoro tunaloeka maji........"
realy Diamond.! of all the pple.!?.. a whole 35yrs old celebrated celebrity with all those awards and accolades still singing like an adolescent.!! think diamond needs an advisor, a cansellor, a psychiatrists, and a good manager.. ni hayo tu

View attachment 2190289
how is godoro tunaloeka maji a ngono thing? shouldn't ur poor swahili to be questioned overhear or lets say lack grasp n comprehesion on lyrics? an art that requires one to work his brain and get the msg? peleka ukunya Nairobi!
 
😀 Huyo dogo anawezakua alikua anaota au alipata kashkash lakini sio serious kama alivyoiunda, kuna sehemu anasema jamaa akamwambia nitarudi na condom ilhali jamaa hajui kiingereza na huyo dogo hajui kiswahili
Wanigeria ndo walivyo halafu kakaa mwaka mzima ndo anaongea saahii!
 
Back
Top Bottom