Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hichi kipovu kina picha hadi za kutoka Indonesia huko . Kwa kuiba picha hamjambo. Hii hadi kucross check pia
Mimi huwa sibahatishi. Hakuna picha ya Indonesia hapo. Hayo maandishi ya Kichina ni kwa sababu picha zenyewe zimetolewa Wechat ambayo ni Social media ya Kichina. Na kampuni inayoijenga ni ya Kichina. Lakini picha zenyewe ni za Kipevu oil terminal. Naona unadhani kwamba Indonesia na nchi zingine za Asia pekee ndio zinaweza kuwa na bonge la dude kama hili. Unatudharau sisi waafrika sana.
 
made in
IMG_5343.jpg

IMG_5344.jpg
 
Anajua kinacho mfwataaa
Hiki ndicho watanzania wanakipigania humu ndani. Mama aendeshe nchi kwa mawazo yake,atoe maamuzi kama Amiri jeshi mkuu wa Tanzania kwa maslahi ya wananchi wake na siyo kupangiwa na mtu mwingine.

Watanzania hawataki aletewe vimemo vya teua huyu, tangua huyu, fanya hivi na vile kwa mambo asiyoyataka.

Bora afanye akosee kwa maamuzi yake lakini siyo kuelekezwa na mtu mwingine. Wakenya mkiona Watanzania wanapiga kelele humu kuhusu nchi yetu muongee machache maana hamjui kinachoendelea.

Walioko jikoni ndio husikia vizuri harufu ya mapishi kuliko walioandaliwa chakula mezani.
 
Mimi huwa sibahatishi. Hakuna picha ya Indonesia hapo. Hayo maandishi ya Kichina ni kwa sababu picha zenyewe zimetolewa Wechat ambayo ni Social media ya Kichina. Na kampuni inayoijenga ni ya Kichina. Lakini picha zenyewe ni za Kipevu oil terminal. Naona unadhani kwamba Indonesia na nchi zingine za Asia pekee ndio zinaweza kuwa na bonge la dude kama hili. Unatudharau sisi waafrika sana.
Mbona husemi kwamba ni msaada kutoka China.
 
Mama abadilishe kila kitu ndani ya hicho chama kibovu cha CCM. Hata katiba kibovu kibadilishwe. Mnastahili kuwa na katiba mpya. Ila naona kama mama hatachaguliwa tena. Ataondolewa na wakubwa wa CCM ambao hawataki mabadiliko.
Umesema vyema lakini sidhani kama huyu mama anaweza kuwa na hizo guts za kubadilisha katiba coz hata yeye anabebwa na hiyo katiba mbovu ambayo ina mapungufu mengi (out dated) na viongozi wengi wa CCM na serikali hawatakuwa tayari ku-commit political suicide kwa kuruhusu mabadiliko ya katiba at least kwa sasa.
 
Back
Top Bottom