Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Tony254 dyfre MK254 Teargas Kafrican mwathadan Chill Njooni tucheke. Eti hizi ndio stadiums wanashinda wakitupigia kelele nazo.

Mwakwani stadium
112862_med_mkwakwani_stadium.jpg


Kaitaba Stadium

93969_med_kaitaba_stadium.jpg


Chamazi stadium
View attachment 2187148

Ushirika stadium
View attachment 2187149

Aman Stadium

24187362.jpg
Mbona Wakenya Mlipo Humu JF saivi Ni Vilaza hivyo!!

Kaitaba Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Amani Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Hizo picha Umezitoa Wapi!!
 
Ile ya 3 berths of less than $400 mln?
Lamu port 3 berths bei yake ni hio $400 million. Sasa sijui unatoa wapi less than $400 million. Tembea kote kote mtandaoni utaona price tag ya Lamu port ni hio $400 million.
 
actually from 80, thru 90s.... u tanganyikans are copycats😾😾

View attachment 2187173
Hakuna mtanzania anaeifatilia Kenya kwa kiwango hicho, tena miaka hiyo ya 80s hata redio tu ilikua issue sasa nani angejua kilichokua kinaendelea huko kwenu kwa mapana hayo mpaka kutohoa maneno huko kwenye scandal?

Usiforce kitu kisichokuepo, ninyi ndio kucha kutwa kuhangaika kuongea kama Watanzania, wanamuziki wetu wana waassimilate kwa kasi ya ajabu, saivi ili uonekane mjanja Nairobi unatakiwa uwe na swags za kibongo 😅😅😅
 
Anyway let me go dipper

Miaka ya themanini katikati (1984 - 1986) Gari lililokuwa linaonekana la kisasa na la thamani kubwa lilikuwa ni gari aina ya Pajero.

Mitaani kukatokea kuthamisha pesa na pajero kama kitu cha thamani (rejea neno mpunga saivi lilivyochukua maana ya pesa) hivyo miaka hiyo 500 ilikua ni note ya thamani kubwa sana tofauti na kipindi hiki

Na hivyo kupelekea kuiita shilingi mia tano "Jero" kwa kufupisha neno Pajero.
Voucher za Jero-Jero zilikuta tayari Jero imepata umaarufu japo na yenyewe ilirejuvenate the slang Jero na kuipa uhai mpaka leo

500 ilikua na thamani kubwa

View attachment 2187151
Jero in tanganyika
tanzania-500shillings-voor.jpg


Jerongo in kenyaland
products-35940.jpg
 
Back
Top Bottom