Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
TPA collects only Ksh 3B in a monthAcha ufala unajua TPA income yake kwa mwezi wewe? Hiyo Ksh 8.5bn ni bajeti ya chai kwa mwezi TPA.


TPA collects only Ksh 3B in a monthAcha ufala unajua TPA income yake kwa mwezi wewe? Hiyo Ksh 8.5bn ni bajeti ya chai kwa mwezi TPA.


Mombasa imeshinda Dar mara mia 🤣 😂 😂 😂 90% of Dar👇 👇 ama utabisha?.., am very free😂😂😂
Naomba tofauti na Karen tafadhaliMombasa imeshinda Dar mara mia 🤣 😂 😂 😂 90% of Dar👇 👇 ama utabisha?.., am very free😂😂😂
View attachment 2187215
View attachment 2187216
Mbona Wakenya Mlipo Humu JF saivi Ni Vilaza hivyo!!
Kaitaba Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Amani Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Hizo picha Umezitoa Wapi!!



Huku Karen kumekuwa kwa moto? 😂😂😂😂Tangu hii report ya world bank ni muujiza gani imefanyika kuakomboa kwa vile hali imezorota sana., baada ya hapa COVID-19, iliingia, vyuma vilikua vimekaza, sasa ni Russia war.., mifukara wanakula ngumu.., so mko worse zaidi.., hapa hamtoki Karne hii, vumilia kaka., 😄😜😂😂😂
View attachment 2187227
Don't forget where u are.., wenzenu hawa👇👇😂😂😂😂
Kabla hamjadouble population yenu ya mafukara mlikua tayari mmetupiga gap siku nyingi 🙆Tangu hii report ya world bank ni muujiza gani imefanyika kuakomboa kwa vile hali imezorota sana., baada ya hapa COVID-19, iliingia, vyuma vilikua vimekaza, sasa ni Russia war.., mifukara wanakula ngumu.., so mko worse zaidi.., hapa hamtoki Karne hii, vumilia kaka., 😄😜😂😂😂
View attachment 2187227
World bank versus opinion ya mtu., ahsante World Bank na Google Earth, Mtanzania wa propaganda hadanganyi dunia kamwe🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣Kabla hamjadouble population yenu ya mafukara mlikua tayari mmetupiga gap siku nyingi 🙆
View attachment 2187238
Majirani..Kindly note the word ''Extremely Poor''...Which means nyinyi ni moja wapo wa mafukara wa kutupwa...i wonder where do you people have the audacity to call kenya poor...Kuwa maskini si hatia ama Makosa lakini makosa ni nyinyi ni maskini ilhali mko na Mali lakini mumetajwa kama mafukara wa kutupwa....hakuna ata ukame ambayo inawasumbua..The problem is poor governance ..Tangu hii report ya world bank ni muujiza gani imefanyika kuakomboa kwa vile hali imezorota sana., baada ya hapa COVID-19, iliingia, vyuma vilikua vimekaza, sasa ni Russia war.., mifukara wanakula ngumu.., so mko worse zaidi.., hapa hamtoki Karne hii, vumilia kaka., 😄😜😂😂😂
View attachment 2187227
Alafu ongezea matatizo yenye imekumba dunia yote, lazima idadi hii imeongezeka, na vile uchumi wa Tanzania ni hafifu sana, mifukara inapata tabu na wa kutupwa lazima number imeongezeka mara dufu.., economic factors didn't remain constant na hazi ku improve whatsoever, it went negative na ime worsen.., just imagine!!, balaa 😂 😂 😂Majirani..Kindly note the word ''Extremely Poor''...Which means nyinyi ni moja wapo wa mafukara wa kutupwa...i wonder where do you people have the audacity to call kenya poor...
Acha uongo hizo stadium haziko hivyi umeokota picha za 80s wewe. Embu fananisha hiyo picha ya Amani stadium ukiyoweka na hii hapa![]()
![]()
![]()
![]()
Tony254 dyfre MK254 Teargas Kafrican mwathadan Chill Njooni tucheke. Eti hizi ndio stadiums wanashinda wakitupigia kelele nazo.
Mwakwani stadium
![]()
Kaitaba Stadium
![]()
Chamazi stadium
View attachment 2187148
Ushirika stadium
View attachment 2187149
Aman Stadium
![]()
Amani ni hii hapaNimemwambia hizi ni fields na wengine wamekasirika. I don't even see the difference between these things and high school football pitches
![]()

Alafu ukiangalia vizuri uganda wameendelea vizuri kuwashinda...wamejenga barabara nzuri sana...i was really shocked about uganda when i decided to investigate on there infrastructure..wameeendelea sana..hawa wengine nimegundua ni kelele mingi ndio maana wanaonekana wako juu lakini ukifuatilizia bure kabisa..uganda wako na ma interchanges mingi sana..hawa sijui wako na nne ama sijui tatu..Alafu ongezea matatizo yenye imekumba dunia yote, lazima idadi hii imeongezeka, na vile uchumi wa Tanzania ni hafifu sana, mifukara inapata tabu na wa kutupwa lazima number imeongezeka mara dufu.., economic factors didn't remain constant na hazi ku improve whatsoever, it went negative na ime worsen.., just imagine!!, balaa 😂 😂 😂
Kaitaba StadiumNimemwambia hizi ni fields na wengine wamekasirika. I don't even see the difference between these things and high school football pitches
![]()

Kwanza miaka hiyo Kenya watoe wapi noti ya 500. Hapo ndipo nawashangaa hawa watu.Hakuna mtanzania anaeifatilia Kenya kwa kiwango hicho, tena miaka hiyo ya 80s hata redio tu ilikua issue sasa nani angejua kilichokua kinaendelea huko kwenu kwa mapana hayo mpaka kutohoa maneno huko kwenye scandal?
Usiforce kitu kisichokuepo, ninyi ndio kucha kutwa kuhangaika kuongea kama Watanzania, wanamuziki wetu wana waassimilate kwa kasi ya ajabu, saivi ili uonekane mjanja Nairobi unatakiwa uwe na swags za kibongo![]()