Siwezi argue na wewe maana inaelekea uko hapa for the sake of argument bila facts.TPA collects only Ksh 3B in a month![]()
Siwezi argue na wewe maana inaelekea uko hapa for the sake of argument bila facts.TPA collects only Ksh 3B in a month![]()
Kama hata gated communities hakuna, barabara ya lami watatoa wapi. Dar ni kiwanja kubwa sana ya vinyumba bila mpangilio.Nimejaribu kutafuta tarmac roads mitaa ya Dar lakini wapi.., yaani 80% of Dar is not tarmacked!!.., link ya google earth hii hapa Google Earth am zooming left right centre lakini wapi 🤣 😂 😂 😂 😂 .., yaani Tz ni ka CBD tu na mitaa chache ya matajiri., the rest ni utopolo tu!!., watu wa domo domo..,
View attachment 2187256
View attachment 2187257
View attachment 2187258
Kumbe Karen ni duni? 😕View attachment 2187228
Sehemu duni ya Karen haiwezi fanana ni huu👆👆 ushuzi wa Dar, yaani makazi ya kawaida, eti hii sio slum😛🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..,
View attachment 2187230
Google earth haibagui., inamwaga Dar kote kote, inaweka mambo wazi.., link Google EarthKama hata gated communities hakuna, barabara ya lami watatoa wapi. Dar ni kiwanja kubwa sana ya vinyumba bila mpangilio.
Kasulu looks better and biggerNakuru city, 4th largest, has better and organized residential kuliko Dar is slum by far!!
View attachment 2187239
Hata Karen kuna maeneo hakufikikiThen when one highlights from dala dala, wengi wa wakazi wa Dar wanapita panya routes kufika nyumba zao.., gari haiwezi pita ndani ni corridors tu., saw these many years back, bado haija change in 2022.., huu upuzi msipeleke Dodoma.., Mwanza pia ilichemsha..,
View attachment 2187263
View attachment 2187264
View attachment 2187265
Dar is just 10 to 15km squared pekee ndio wao hupost hapa. Hio area ingine yote ni uswazi tupu.Google earth haibagui., inamwaga Dar kote kote, inaweka mambo wazi.., link Google Earth
Sehemu duni ya Karen ambayo ume post but can't find it kwa google earth!! giving you the benefit of doubt, sehemu ilio duni sio Karen yoote, so matako ya Karen ni nafuu kuliko makazi ya Dar😂😂😂 wacha nikuwekee google earth ya Karen kila sehemu..,Kumbe Karen ni duni? 😕
This I noticed many years back tayari nilisha waambia humu, wakakasirika wakamwaga angles zote za picha ya Kibera kujiliwaza 🤣 🤣 😂 😂 😂Dar is just 10 to 15km squared pekee ndio wao hupost hapa. Hio area ingine yote ni uswazi tupu.
Wapi hapa in Karen?., naona well spaced houses na njia yenye magari yanatoshea vizuri sana.., ama wewe ni kipofu., huweza fananisha na Dar kabisaaa😂😂😂🤣🤣🤣🤣👇👇
Hawana content. Ile construction boom time ya TPA na PSPF ndio iliwachocha wanaweza compete na Nairobi. After hio bubble iliburst wamebaki wakijiconsole hapa while construction boom ya Nairobi inaendelea at a fast pace. Hii thread ikianza over 5 years ago our 5th CBD, Mombasa road bado ilikua at infancy stage, sahii the growth is on steroids.This I noticed many years back tayari nilisha waambia humu, wakakasirika wakamwaga angles zote za picha ya Kibera kujiliwaza 🤣 🤣 😂 😂 😂
Haya, tuwekee picha halisi za hizo viwanja kama nimedanganya.🙂🙂Mbona Wakenya Mlipo Humu JF saivi Ni Vilaza hivyo!!
Kaitaba Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Amani Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Hizo picha Umezitoa Wapi!!
Nilikuuliza uniwekee picha ukaniambia niGoogle, sasa nimeGoogle tena unalia. Heeheee. 🤣 🤣 🤣Acha uongo hizo stadium haziko hivyi umeokota picha za 80s wewe. Embu fananisha hiyo picha ya Amani stadium ukiyoweka na hii hapa
View attachment 2187248
Usilinganisha viwanja za shule za Kenya na vitu za kipuuzi.Nimemwambia hizi ni fields na wengine wamekasirika. I don't even see the difference between these things and high school football pitches
![]()
aa wapi.!? swagg za kibongo mshipa.!! infact kenyans stereotype bongolalas as lazy, unlearned, laidback, anti-tech savvy, can't comm in english, not affluent and wealthy, minimal middle class <0.5%, poor housing throughout tz, witchcraft hub, dar not an intl' city, saangapi tuna iga swagg za kibongo.Hakuna mtanzania anaeifatilia Kenya kwa kiwango hicho, tena miaka hiyo ya 80s hata redio tu ilikua issue sasa nani angejua kilichokua kinaendelea huko kwenu kwa mapana hayo mpaka kutohoa maneno huko kwenye scandal?
Usiforce kitu kisichokuepo, ninyi ndio kucha kutwa kuhangaika kuongea kama Watanzania, wanamuziki wetu wana waassimilate kwa kasi ya ajabu, saivi ili uonekane mjanja Nairobi unatakiwa uwe na swags za kibongo 😅😅😅
Huna habari, Meli zimeacha kwenda Lamu!Hivi LAPSSET kwa sasa inahudumia nchi ngapi au ni hii Zanzibar mnayojipachika 😁