Haukwepi, ya Kenya huwa wazi siku zote na tunalijua sana, ila Tanzania ni balaa, yaani ukiangalia deni ongeza na budget yenu, alafu utazame hiyo uchumi wenu hafifu, yaani pato kwa mwaka ni aibu kwa nchi kubwa ya idadi kubwa ya watu.., ufukara on display, you are LDC for sure, hamujiwezi!!!.., mtu ako na watoto wengi, mahitaji mengi na mshahara kidogo..., ufukara, Tanzania is fundamentally poor, which is a mindset, yaani ujinga tupu., hamfai kukuwa vile kabisa, hamuna any reason whatsoever, so ni ujinga wenu tu.