Ile ya 3 berths of less than $400 mln?LAPSSET cost is bigger than the cost of all Tanzanian projects combined.
Ndiyo hiki kitu kinanifanya nisimkubali JK, safari kibao legacy hakuna, now anam supervise mama aende mule mule zen atuletee net na madeni.Mkuu unajua kwamba Kitendo cha Magufuli kuzuia safari za nje na yeye mwenyewe kutosafiri hovyo ndio chimbuko la ununuzi wa ndege za ATCL?, Je safari za Kikwete zilizaa kitu gani ambacho Leo watanzania tunaweza kujivunia?
Kwani LAPSSET ni lamu port pekee?Ile ya 3 berths of less than $400 mln?
Mtoe wapi pesa ya hizo project kwa hii👇 pato na budget zaidi ya pato plus deni? 😂 😂 😂 😂 ..,kama Tz taifa fukara can do it, Kenya's economy can pull such times 2, ata Uganda, so wacha ujinga..,😂😂😂😂Sikiliza, kwasasa Tanzania tunaongoza tunaongoza katika miradi mingi inayotumia pesa za ndani, chukua miradi miwili pekee,
1)Ujenzi wa bwawa la umeme $3B
2) Ununuzi wa ndege 15 za ATCL $2.2B
Jumla $5.2B
Kenya + Uganda +Rwanda kwa pamoja hamuwezi fikia hiyo pesa
Nyie itakua 90%.., haukwepi, mko hovyo..., ngoja poverty index, hamkombolewi, hypothetically mko hovyo zaidi, things have not gone well since covid, kama prior to covid mlikua na fukara wengi wa kutupwa, sasa na uchumi hafifu plus issues kibao, mko wapi? nanii nyie ndio mlikua mabingwa wa ufukara wa kutupwa both SADC na EAC, sasa mmepata mpinzani wenu DRC, na bado watawa acha kule 🤣 🤣 😂 😂 😂
Can TPA has this kind of financial muscles?
KDF did it single handedly in Kismayu,kwenye makao makuu na nguvu ya Al shabaab, in Mogadishu kulikua na Somali army who had some control, and other amisom groups plus UN.., it was not the headquarters ya Al shabaab kwa vile hawakukua wameuteka wote, they didn't have full control.., wivu inakusumbua tu.., unasikia vibaya for any positive achievement ya Kenya, inakuuma sana 😂😂😂😂😂Sasa Kama Uganda waliweza kuwafurusha Mogadishu hawajisifu, vipi ninyi mnajisifu kuwafurusha Kismayu tayari wameshadhoofishwa na Jeshi la Uganda?
Unataka visit ya mda gani?Two week visit?, Mkuu hii sio sawa, ni miezi michache iliyopita alikua hukohuko USA, mkuu nadhani amezidisha Sana muda wa kusafiri, kipindi hiki Kuna Mambo mengi Sana hapa nchini yanahitaji usimamizi wa rais
Una uhakika? Je kama kuna matibabu?Sijawahi kamwe kusikia kwamba rais wa nchi moja anakwenda kutembelea nchi nyingine for 2 weeks. Unless rais mwenyewe ni mgonjwa anakwenda kupata matibabu kama Buhari wa Nigeria alipokwenda England kupata matibabu. 2 weeks ni nyingi mno. Kodi ya Watanzania ndio itakayotumika kwa matumizi yake ya kila siku na pia matumizi ya watu aliokwenda nao huko.
🤣 😅 😁 Hahaha wacha mama akule raha. Hata kama wewe au mimi tungepata nafasi ya kuwa rais tungekula raha hadi dunia itutambue na kuzunguka duniani kote hadi nchi zenyewe zikatae kutupatia visa ya kutembea huko. Au unadhani hatujui tabia za Waafrika? Ni kawaida mwaka wa kwanza rais kujifurahisha. Ila 2 weeks kupiga kambi katika nchi ya wenyewe ni nyingi mno. Anataka kuwa raia wa Marekani au nini? 😅 😁Huyo Rais ni bomu la kitaifa linalosubiri kulipuka mda c mrefu, na usidhani hao wanaomtetea hawajui hilo, la hasha, wanajua fika kwamba huyo mama hajui anachokifanya, sema tu kuna ule ushindani wa kitoto wa kuhakikisha Magu hapati heshima yake, huyo mama kwake yeye ni bora siku imeisha miaka isonge akashangae shangae duniani mda wake uishe aandike kitabu naye alikuwa Rais but kusema ana malengo aliyojiwekea utakuwa ni uongo mkubwa sana.
True, btw, the notion Tanzania has better stadiums than Kenya is very false. Ukitoa Benjamin Mkapa stadium hakuna kitu hapo. In Kenya we have so many small stadiums built by County governments huwezi hesabu.Hii Dandora imeshinda. Infact this Azam thing is a field and not a stadium
no no no.... the fact still remain, anything associated with 500/- that's is either pirated, overprinted, corrupted, money laundered, questionable, controversial but generously distributed, is actualy wht am referring to as 'Jero' aka 'Jerongo'.. that name obviously originated from kenya, and derived from Cyrus Jerongo.... sijui Tony254 ako wapi atoe maoni yakeAcha uongo, 500 inaitwa Jero sababu ya voucher za 500 kutoka mtandao wa shivacom uliokua unatengeneza voucher za karatasi zinaitwa shivacom Jero-Jero
Kwanini mnapendaga kulazimisha Tanzania recognition? 🤔
View attachment 2186722
Punguza nipasho weka data kama hii ewe fukaraNyie itakua 90%.., haukwepi, mko hovyo..., ngoja poverty index, hamkombolewi, hypothetically mko hovyo zaidi, things have not gone well since covid, kama prior to covid mlikua na fukara wengi wa kutupwa, sasa na uchumi hafifu plus issues kibao, mko wapi? nanii nyie ndio mlikua mabingwa wa ufukara wa kutupwa both SADC na EAC, sasa mmepata mpinzani wenu DRC, na bado watawa acha kule 🤣 🤣 😂 😂 😂
Gharama za izo safari kwa hesabu za haraka haraka na kwa makadirio ya chini kabisa sio chini ya dola milioni 5 yani zimekua kero, uhuru ndio kiongozi mkubwa ukanda huu aliyekua anaongoza kwa kusafiri ila mama kampikuSio hivi lakini, mabalozi wetu wakishirikiana na wizara ya Utalii wanatosha Sana, mbona juzi tu alikuwepo "Dubai Expo" ambako alitangaza Utalii vizuri tu, kabla ya hapo alikua France, Belgium?
Mkuu, kiongozi wa nchi hapaswi kuzinguka hovyo kiasi hiki, Sasa ndani ya miezi 3 ya mwanzo ya mwaka huu pekee ameshatembelea zaidi ya nchi 5.



Ewe Fukara.